Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Huko ndio kwa kwenda kuishi sasa

Ukiwa Oman, tafuta jina linaloendana na Oman (Mohammed, yahaya, fahard, Yasir)

Wewe unaenda Rome, alafu unang'ang'ania na hilo jina lako la wavaa kobaz (Hussein, Osama)

Lazima utatengwa tu
Tatizo madogo hamna maarifa ya jamii vichwani

Mfano ukienda sehemu ya ugenini, ambapo hauna wenyeji
Watu wa kwanza kabisa wa kufahamiana nao ni mama ntilie
Kulala ata chini ya daraja au bar utalala tu
 
1. Pamoja na kubarikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, Zanzibar kuna mfumuko wa bei sana kwenye bidhaa za vyakula vya bustani kama matunda na mboga mboga... siyo kama kwetu Moshi.

Kwa sasa ndizi fupi, ambazo Moshi tunatumia kutengeneza mbege ni shilingi 500.

2. Samaki na bidhaa za bahari ni ghali kuliko hata maeneo yasiyo na bahari Tanzania bara

Usidhani kwamba ukifika hapa utakula samaki kwa mtelezo,ebwana bei ya samaki wote hadi pweza inazidi hata Morogoro, nadhani ni effect ya utalii au umasikini,mtu anavua samaki anauza kipande elfu 5 ambacho bara elfu 2.

3. Watu wake wengi ni wavivu na wanaopenda kazi za mtelemko,pia kubebana na rushwa iko kwa kiwango kikubwa sana kwenye baadhi ya sekta kama afya,elimu na biashara

hapa ndio shida ilipo,wazenji wengi wavivu sana na wapenda dezo...ila wanaridhika na wanachopata...wanapenda sana connection na hakuna haki,huku ni nani anajuana na nani na kila mmoja anajigamba anafanya kazi ikulu au yeye ni usalama wa taifa

Zanzibar hakuna mnyonge,unakuta mshona viatu anasema yeye ni ndugu wa raisi kwahiyo usimchukulie poa.

Kwenye elimu kuna kubenana sana ndio maana ubora wa elimu yao uko chini sana kulinganisha na bara,ushahidi ni matokeo ya kidato cha nne.

4. Kama unapenda ngono za ovyo ovyo basi huku utakua na option mbili tu

(a) Kufa na nyege zako
(a) Kununua malaya wanaotoka bongo hasa kwa gia ya kuja kufanya kazi za hotel,hawa wengi wanapatikana muda wowote kwenye msururu wa bar zilizopo karibu na uwanja wa amani..huko zimepangwa gari ndogo ndio gesti hizo,unalipia demu unaenda chakatia humo sababu gharama ya gesti ni juu sana na masharti ni makubwa.

Ama ukiweza uende kununua malaya shamba huko pembezoni ya mji kama kiwengwa,nungwi,paje n.k

Ukikamatwa na binti wa watu mvaa shungi hapo lazima uoe na wao ndoa ni kitu huwa hawacheleweshi hata kidogo...unaozeshwa na ndugu wanahamia hapo hapo sasa utachagua uwakimbie au ubaki upambane na hali.

5. Watoto wa kiume zanzibar wako kwenye hatari kubwa zaidi kimalezi kuliko watoto wa kike.

hili suala baya sana..kuna kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa na kulawitiana,zanzibar watoto wa kike wanalindwa sana na sheria za dini na imewasahau wanaume...ni kawaida kukuta watoto wa miaka 10-25 wako maskani hadi saa tano au sita usiku bila uangalizi wowote

matumizi ya dawa za kulevya na sigara pia bangi hadharani ni makubwa sana kulinganisha na bara.

ndio maana kitaaluma wanaoongoza ni wasichana siyo wavulana,na wanawatawala hadi ndani ya nyumba

mwanaume wa zanzibar kukuta anaosha vyombo,kupika na kufua ni kawaida wakati mke wake akiwa anapaka hina au kashika mtoto kwa mikono miwili(hawabebi mtoto mgongoni)

6.ukiona dada yako kaaga anaenda zanzibar kufanya kazi ya hoteli,au kwa shoga yake kutembea,au tu kazi yoyote isiyo professional basi ujue yupo huku anajiuza.

maisha zanzibar ni ghali sana kuishi bila kipato cha uhakika...kwahiyo njia pekee ya wenye mtaji mbususu ni kuiuza kwa nguvu ukizingatia kuna uhaba sana wa mbususu

kwahiyo kuwa makini sana na mdada abayeaga kwenda zanzibar

7.dhana ya ubaguzi kwa zanzibar ni vile wewe utaamua kuishi nao,ukitaka usibaguliwe basi usichangamane sana nao hasa hasa kama wewe ni mgalatia...ila ukiwa kiherehere kwenye mambo yao utaona unabaguliwa kila mara sababu wakikuuliza jina ukasema naitwa matayo basi kuna baadhi ya mambo utayasikia tu.

waulize walioomba sensa

8.wazanzibari hawana makuu...yeye akienda kuendesha boda boda akatimiza malengo saa nne asubuhi basi anarudi kulala na mke wake

hawana mambo ya kulazimisha mtu kwenye biashara wala kuita ita uje kununua

akitaja bei hata hana haja ya kukuuliza una shingapi,ukishindwa ondoka ataishia kusema Si riziki...

konda wa daladala kama hana chenchi anakurudishia hela yako uende bila matusi wala kashfa...konda akiita mtu mara moja harudii na mara nyingine anamuomba abiria siti hasa hasa ikiwa jioni kachoka,konda anakaa abiria anasimama

9.wageni wengi ndio wanawasanua akili sasa hivi wanaamka kiasi,lakini wameamka kipindi ambacho wengi wamepigwa gap kubwa sana.

uzuri kihistoria hakuna mmiliki halali wa hivi visiwa lakini kwa sasa mambo mengi yamekamatwa na wageni hasa wahindi na waarabu,wabantu wana hali mbaya sana za kiuchumi...ukimkuta masikini zanzibar ni masikini kweli kweli

10.wanapenda umwinyi na kusifiwa au muhindi

wewe ukimwona mweupe mwite mwarabu basi anafurahi sana,zawadi mpe kanzu na balaghashia

kama unataka demu basi anzia hapo kwenye kumwita mwarabu,na wao huwa wanasema wao ni waarabu,kumbe ni mazao ya muingiliano huo uliotokea zamani kati ya wageni mbalimbali waliokua wakifika hapa kwa shughuli zao.

ila wao wanachojua kwao ni Oman

All in All.....Zanzibar kuzuri kuishi sana ila usiwe na makuu,hautapata huduma nyingi kwa haraka na nafuu kama ulivyozoea bara

hakuna bar na gesti holela mtaani,ni mara chache sana kupishana na mlevi na akitokea mtu anakatiza mahala kalewa basi wanaitana mtaa mzima kuja kumshangaa.

duniani tunatofautiana sana. jambo usilolijua ni kwamba, ukiishi nairobi, hivyo ambavyo wewe unawasema wazenji, ndivyo wakenya wanatusema wabongo. hata wazungu wengi wanaamini bongo watu mambo yao ni ya polepole,hawajui biashara, wavivu n.k. na kweli, nairobi mtu unamkuta anatembea kwa haraka utafikiri anakimbizwa kumbe anaenda tu kazini. mbongo utamkuta anatembea polepole hana hata haraka, na yeye anaenda kazini. though kiukweli wazenji wamezidi.
 
Hapo uliposema usiniletee story naona kuna ukakasi katika uelewa na ufahamu wako.Unaonekana unapenda mabishano na si maelekezano.

Mimi sifahamu.Naomba unitajie teknolojia ambayo dunia nzima inajivunia kutoka Afrika.

Nb 1: Kutovumbua teknolojia haimanishi kuwa hiyo teknolojia huwezi kuwa nayo. Unaelewa maana ya
Technology Transfer??????????

Nb 2: Jaribu kutokuwa na papara, mhemko,kiburi,majivuno,hasira, dharau n.k unapotaka kujifunza jambo lolote.Hivi vitu huwa vikwazo vikubwa katika kujifunza na kutafuta maarifa mapya. Samahani kama nimekukwaza.
Nilikuwa najua utaleta story hizi zisizo na maana

Narudia tena nitajie teknolojia 4 ambazo dunia inajivunia zimevumbuliwa Zanzibar;

1..........
2.........
3.....,....
4.......,..


Jaza hizo sehemu.Asante.



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa najua utaleta story hizi zisizo na maana

Narudia tena nitajie teknolojia 4 ambazo dunia inajivunia zimevumbuliwa Zanzibar;

1..........
2.........
3.....,....
4.......,..


Jaza hizo sehemu.Asante.



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
kubwa ni teknolojia ya kushantua kwenye gari
 
Kuvaa ushungi kwao kumekupoteza maboya,ukiwa unatokea dar basi zanzibar ni rahisi sana kupata pq kujituliza,tunatakana yan,gender zote za kizanzibar zimetokea kupenda wabara ukiwa kule kisiwani,demu wa kizenj atakusumbua akiwa dar lakini ukiwa kule na weww ni mbara unang'oa kirahisi sana ila uwe makini usije kupigwa ndoa ya mkeka maana uwa wanajipanga na wazazi ukitokea mbara bwege bwege wanakutandika ndoa ya mkeka
Unakula mzigo tu afu unavunja ndoa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
zanzibar ukitongoza demu kikubwa atakuuliza jina ajue wewe mkristo au muislamu then unatokea bara?

ukishasema ni wa bara basi imeisha

tena watu wa bara wote wanajua ni wanyamwezi
Unguja kuna mnyamwezi ni yule yeyote atokae bara ataitwa mnyamwezi hii sababu huko kitambo wanyamwezi ndio walikua wakienda kufanya kazi za mashambani,kuna mnungwi,mkojani,mtumbatu n.k,ila mpemba yy anajifanya smart hata ukienda pemba utamkuta mpemba tu ila wakifika unguja watawaita wenzao kila jina walitakalo kiufupi mpemba anambagua kila mtu iwe unguja au pemba,muunguja anabaguliwa na mpemba hapo hapo unguja imagine siku ya kuvunjika muungano muunguja inabidi ajipange kisawa sawa akizubaa kaumia
 
kuhusu wanawake wengi ni wasafi usoni hapo...kutengeneza suraa aaahhh wanajua

ila kwingine sasa wengi siyo wasafi,wengi ni sababu ya zile nguo wanalazimishwa kuvaa

sababu ya manukato ndio unaweza pumbazika,ila wengi ni wachafu sana pia...hasa waswahili
Mim nimeishi na Wazenji nakuhakikishia huwez wataman jinsi walivyokua wachafu mwanamke ukikaa naye karibu unasikia harufu za ajabu ajabu mbaya yaan hawataminish, utawataman Kam hujawah ishi nao
 
Unguja kuna mnyamwezi ni yule yeyote atokae bara ataitwa mnyamwezi hii sababu huko kitambo wanyamwezi ndio walikua wakienda kufanya kazi za mashambani,kuna mnungwi,mkojani,mtumbatu n.k,ila mpemba yy anajifanya smart hata ukienda pemba utamkuta mpemba tu ila wakifika unguja watawaita wenzao kila jina walitakalo kiufupi mpemba anambagua kila mtu iwe unguja au pemba,muunguja anabaguliwa na mpemba hapo hapo unguja imagine siku ya kuvunjika muungano muunguja inabidi ajipange kisawa sawa akizubaa kaumia
Na wapemba ndo wenye hela na matajiri sababu wengi ni wachapakazi, Mpemba mtu kazi ni tofauti na mtu wa unguja
 
17. Zanzibar ni kawaida san kwa wenyeji wake kuongea (Kuwatania) machizi.

18. Zanzibar. Hakuna matabaka ya viongozi. Ni kawaida sana uku kupishana na mbunge, Rc,dc, ama wazir wakitembea kwa mguu na hukuti mtu akiwa na shobo nao baada ya salam.
Wazanzibar wanajitambua na kujielewa kuliko huko bara, huwez mzulumu kirahisi rahis ni WA bishi sana
 
Wazanzibar wanajitambua na kujielewa kuliko huko bara, huwez mzulumu kirahisi rahis ni WA bishi sana
Yeah ni kwel Wazanzibar ni wabish sana me nashangaa san uwo mtindo wa polisi wa bongo kwenda majumban mwa watu na kuondok na watu kihuni namna iyo kwa znz ni ngumu san iyo kitu watu wanajitambua wanajua haki zao
 
Na wapemba ndo wenye hela na matajiri sababu wengi ni wachapakazi, Mpemba mtu wa kazi ni tofauti na mtu wa unguja
Hamna lolote,wabaguzi tu hata waunguja wanapiga kazi,utamkuta mpemba yuko moro vijijini huko kishaoa mluguru na watoto juu na maisha yake yapo huko lakini hataki muungano,wajinga tu wapemba,pemba ni ya mpemba peke yake ila unguja ni ya mpemba na muunguja,waunguja wajanja washawashtukia
 
Vp kuhusu mzunguko wa Hela Zanzibar ni kama bara au..
Na biashara gn unaweza kuimove kutoka nzazbar to bara au bara to nzanzbar🙏
Peleka matunda mkuu, mfano ndizi product ya unguja siyo tamu kulinganisha na za bara, ukila ndizi kisukari ya morogoro au moshi na ile ya unguja (aka pukusa) hurudii tena kula na hata machungwa.
 
Back
Top Bottom