Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Hoja yako imekosa mantiki kwani imetumia hisia zaidi pamoja na mhemko na siyo uhalisia. Uliposema 'Wazanzibar' ni (maana yake wote) hujawahi na hutawahi kukaa na Wazanzibar wote kwa pamoja halafu ukahitimisha kuwa wote ni wachafu.

Uchafu ni tabia ya mtu binafsi na si tabia ya jamii nzima. Wengi wao (kama siyo wote )wanafuta imani ya dini ya Kiislamu ambayo katika moja ya mafundisho husisitiza usafi. Kama ilivyo ada ya binadamu kuna watakaofuata na kutii maamrisho na kuna wasiyofuata.(Hapa ni utashi binafsi). Ahsante.
Hata research tunatumia sample wale watu ni wachafu sana wa kimazingira Sasa sijui huo ustaarabu unaongelea ni WA wapi
 
Sio kilwa tena?
Ustaarabu kwa maana ya jumla: Hii ni hatua ya juu ya maendeleo iliyopigwa na jamii husika katika wakati fulani katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa,kiuchumi,kiutamaduni,kijamii na kiteknolojia.

Ustaarabu= Jamii iliyoendelea.(Mazuri mengi mabaya machache)
Miongoni mwa sababu kuu za kuenea ustaarabu ni mwingiliano katika nyanja mbalimbali.

Swali 1:Ipi ilikuwa jamii ya mwanzo kuingiliana na jamii nyingine kimataifa na kitaifa katika nyanja mbalimbali kati ya bara na pwani.???

Swali 2:Ipi ilikuwa jamii ya mwanzo kupiga maenedeleo makubwa katika nyanja zote kati ya bara na pwani???

Nb 1: Tunazungumzia zamani sana(Karne kadhaa zilizopita)!!!!!!!!!!!

Nb 2: Tukubali (ukweli mchungu) jamii ya Zanzibar ilianza kujiatach na kujiexpose na external world mapema kuliko jamii yoyote.
 
11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!

12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!

13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.

14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k

15.
Siyo waoga katika kudai haki zao.

16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.

Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.

Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
17. Zanzibar ni kawaida san kwa wenyeji wake kuongea (Kuwatania) machizi.

18. Zanzibar. Hakuna matabaka ya viongozi. Ni kawaida sana uku kupishana na mbunge, Rc,dc, ama wazir wakitembea kwa mguu na hukuti mtu akiwa na shobo nao baada ya salam.
 
labda ustaarabu wa kinafiki

hawa wengi ni waovu sana deep inside sababu hakuna sehemu pana rushwa kama hapa,kesi za ubakaji na kulawiti ni nyingi hasa kwa watoto

uchafu ndio mwingi sana,maeneo wanayoishi ni uchafu kwa kwenda mbele...mitaro ya maji kunuka mingi

matumizi ya vyoo ni ya hovyo sana...zanzibar mjini hapa hakuna choo cha kulipia chenye staha hata kimoja,vyote unaingia unawaza tu utoke salama

sehemu za vyakula ni chafu na hakuna anayejali sana kuhusu uchafu

sijui unasemea ustaarabu gani ndio ukianzia pwani

Inategemea unakula wapi
 
17. Zanzibar ni kawaida san kwa wenyeji wake kuongea (Kuwatania) machizi.

18. Zanzibar. Hakuna matabaka ya viongozi. Ni kawaida sana uku kupishana na mbunge, Rc,dc, ama wazir wakitembea kwa mguu na hukuti mtu akiwa na shobo nao baada ya salam.
huku kwetu ole wako usimtambue tajiri, ama mwenye cheo chake ataku mind

huku kwetu wapuuzi sana
 
Kuvaa ushungi kwao kumekupoteza maboya,ukiwa unatokea dar basi zanzibar ni rahisi sana kupata pq kujituliza,tunatakana yan,gender zote za kizanzibar zimetokea kupenda wabara ukiwa kule kisiwani,demu wa kizenj atakusumbua akiwa dar lakini ukiwa kule na weww ni mbara unang'oa kirahisi sana ila uwe makini usije kupigwa ndoa ya mkeka maana uwa wanajipanga na wazazi ukitokea mbara bwege bwege wanakutandika ndoa ya mkeka
 
Kwenye waarabu na wahindi hao ni wazawa wa zanzibar wana haki kamili ndio maana wapo katika uongozi sio wageni. huku bara tunawabagua waarabu na wahindi lakini ukweli na wao wazawa. ona mama samia alipokwenda oman alikwenda kuwaona wajomba zake waarabu.huku bara ukichunguza hakuna mtanzania origali wote watu wa kuja ila wagogo tu ndio watanzani futilia historia
Ngoja niongezee kuelewa
Asili ya kisiwa haina mwenyewe kutokana na muingiliano wa watu. Hao ndugu zetu ambao wapo huko kuna ambao walitokea huku Dar, rufiji, bagamoyo au pwani, wengine walitokea tanga, kilwa. Kwa maana ya kutoka huku bara.
Waka anzisha makazi na mengine ni historia. Hapo ni vizazi na vizazi.

Mbona wapo wanzibara wanao zaliwa amana huku tuwasemeje.
 
Zenji Wana tabia ya kugongea wageni wa like vyumbani hotelin ili wapewe ****
 
11.Matajiri wao wapo simple sana.Yaani unaweza kupishana na tajiri mkubwa tu halafu usijue.Njoo kwetu bara.!!!!!!!!!!!!!!!

12.Hawana ushamba na ulimbukeni wa vitu vya eletroniki na magari.Kwao ni vitu vya kawaida sana.Njoo kwetu bara!!!!!!!!!!!

13.Ni wastaarabu kwa maana ya ustaarabu.Kutoa salamu ndani ya gari, kutoa lift bila ya masharti, lugha za staha, mavazi ya stara, ukarimu.Dhana ya huyu ni mkubwa na huyu ni mdogo bado ipo.

14.Vituo vingi vya magari kuishia na herufi ni mfano, chuini,amani,mkokotoni, chaani, mfenesini, darajani, michenzani ,kwa hani, kisauni n.k

15.
Siyo waoga katika kudai haki zao.

16.Wanafuatilia sana siasa katika vijiwe vyao vya kahawa.

Nb1:Kila jamii ina mazuri na mabaya yake.

Nb 2. Ustaarabu ulianzia Pwani na kitovu chake ni Zanzibar(Ukweli mchungu) angalia elimu,uchumi,siasa,kijamii n.k
Kilwa kisiwa unaijua?
 
Back
Top Bottom