Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Mambo 10 niliyojifunza Zanzibar

Kuna mke wetu alienda huko kaajiriwa kwenye yale makobe,huwa naona anatupia picha picha fb,niko na wasiwasi nae baada ya kuona uzi huu maana nae ni mjanja mjanja sana
Kaka kwa uzoefu wangu wa visiwani nimeishi miaka 6 huyo mke wenu %100 mnaibiwa mahotelia nawajua nimeshapanga nao nyumba tabia zao ni kusaka pesa.
 
Sawa.
Naenda Zanzibar kushuhudia.
...Kwa hiyo Mkuu Madihani nilitaka kupata Mtoto wa Kizenji Hata kama I mmbantu pyua nimuambie TU.. ni Muarabu na Nina hamu ya kutinginyana na Mtoto wa Kiarabu...kama yeye!... Nimepata??
 
Pia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi yanakuwa kwa kasi zaidi znz kuliko sehemu nyingine, na hili linasababishwa ngono zilizo shamiri maeneo ya fukwe lakini pia kwa wafanyakazi wa kike wa ndani ambao wengi wao wanatoka bara.....wanajiuza
.maambukizi ya Ukimwi znz yanatisha.
 
Hapo mwisho kuhusu mlevi watu kumshangaa si kweli. Zanzibar ni walevi kuliko Bara. Nahisi hujakaa Zenji umesimuliwa tu. Kuna bibanda vya gongo kibao na hadi vibibi vinakunywa gongo. Nenda Machui huko na Bububu ukajionee

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app

Zanzibar ipi unayosema ww ni hii ninayoish mim au ipo nyengine?
 
Kaka kwa uzoefu wangu wa visiwani nimeishi miaka 6 huyo mke wenu %100 mnaibiwa mahotelia nawajua nimeshapanga nao nyumba tabia zao ni kusaka pesa.
Ajabu huwa kakirudi huku huwa kanakuja na mikwala mizito kanajifanya kana wivu sana kanaanza kugombana na wanawake wote waliokaribu na mumewe
 
Wewe unafikiri kati ya bara na pwani ni jamii ipi ilianza kustaarabika??????Tumia fikra tunduizi na siyo mhemko na papara.
Ujue unaweza bishana na mtu kumbe hamjaelewana kuna ustaarabu na uungwana watu wa pwani wengi ni wastaarabu wakimaamanisha walicopy tamaduni nyingi za kiarabu
 
Ndugu yangu Kusini moja eeeh ?Hivi ni messtin au
Kwa uchafu wazanzibar wanangoza... Kuna jamaa jeshini ye alikuwa anaingia na mustini lile bakuli la Chuma la jeshini chooni...ukimuuliza kwanini.. anakwambia wewe mbona unaenda na mdomo unaolia Chakula chooni na yeye hasoni ajabu wala kukushangaa? Amaaa? Unabaki unashangaa tu!
 
1. Pamoja na kubarikiwa ardhi nzuri na yenye rutuba, Zanzibar kuna mfumuko wa bei sana kwenye bidhaa za vyakula vya bustani kama matunda na mboga mboga... siyo kama kwetu Moshi.

Kwa sasa ndizi fupi, ambazo Moshi tunatumia kutengeneza mbege ni shilingi 500.

2. Samaki na bidhaa za bahari ni ghali kuliko hata maeneo yasiyo na bahari Tanzania bara

Usidhani kwamba ukifika hapa utakula samaki kwa mtelezo,ebwana bei ya samaki wote hadi pweza inazidi hata Morogoro, nadhani ni effect ya utalii au umasikini,mtu anavua samaki anauza kipande elfu 5 ambacho bara elfu 2.

3. Watu wake wengi ni wavivu na wanaopenda kazi za mtelemko,pia kubebana na rushwa iko kwa kiwango kikubwa sana kwenye baadhi ya sekta kama afya,elimu na biashara

hapa ndio shida ilipo,wazenji wengi wavivu sana na wapenda dezo...ila wanaridhika na wanachopata...wanapenda sana connection na hakuna haki,huku ni nani anajuana na nani na kila mmoja anajigamba anafanya kazi ikulu au yeye ni usalama wa taifa

Zanzibar hakuna mnyonge,unakuta mshona viatu anasema yeye ni ndugu wa raisi kwahiyo usimchukulie poa.

Kwenye elimu kuna kubenana sana ndio maana ubora wa elimu yao uko chini sana kulinganisha na bara,ushahidi ni matokeo ya kidato cha nne.

4. Kama unapenda ngono za ovyo ovyo basi huku utakua na option mbili tu

(a) Kufa na nyege zako
(a) Kununua malaya wanaotoka bongo hasa kwa gia ya kuja kufanya kazi za hotel,hawa wengi wanapatikana muda wowote kwenye msururu wa bar zilizopo karibu na uwanja wa amani..huko zimepangwa gari ndogo ndio gesti hizo,unalipia demu unaenda chakatia humo sababu gharama ya gesti ni juu sana na masharti ni makubwa.

Ama ukiweza uende kununua malaya shamba huko pembezoni ya mji kama kiwengwa,nungwi,paje n.k

Ukikamatwa na binti wa watu mvaa shungi hapo lazima uoe na wao ndoa ni kitu huwa hawacheleweshi hata kidogo...unaozeshwa na ndugu wanahamia hapo hapo sasa utachagua uwakimbie au ubaki upambane na hali.

5. Watoto wa kiume zanzibar wako kwenye hatari kubwa zaidi kimalezi kuliko watoto wa kike.

hili suala baya sana..kuna kesi nyingi sana za watoto wa kiume kulawitiwa na kulawitiana,zanzibar watoto wa kike wanalindwa sana na sheria za dini na imewasahau wanaume...ni kawaida kukuta watoto wa miaka 10-25 wako maskani hadi saa tano au sita usiku bila uangalizi wowote

matumizi ya dawa za kulevya na sigara pia bangi hadharani ni makubwa sana kulinganisha na bara.

ndio maana kitaaluma wanaoongoza ni wasichana siyo wavulana,na wanawatawala hadi ndani ya nyumba

mwanaume wa zanzibar kukuta anaosha vyombo,kupika na kufua ni kawaida wakati mke wake akiwa anapaka hina au kashika mtoto kwa mikono miwili(hawabebi mtoto mgongoni)

6.ukiona dada yako kaaga anaenda zanzibar kufanya kazi ya hoteli,au kwa shoga yake kutembea,au tu kazi yoyote isiyo professional basi ujue yupo huku anajiuza.

maisha zanzibar ni ghali sana kuishi bila kipato cha uhakika...kwahiyo njia pekee ya wenye mtaji mbususu ni kuiuza kwa nguvu ukizingatia kuna uhaba sana wa mbususu

kwahiyo kuwa makini sana na mdada abayeaga kwenda zanzibar

7.dhana ya ubaguzi kwa zanzibar ni vile wewe utaamua kuishi nao,ukitaka usibaguliwe basi usichangamane sana nao hasa hasa kama wewe ni mgalatia...ila ukiwa kiherehere kwenye mambo yao utaona unabaguliwa kila mara sababu wakikuuliza jina ukasema naitwa matayo basi kuna baadhi ya mambo utayasikia tu.

waulize walioomba sensa

8.wazanzibari hawana makuu...yeye akienda kuendesha boda boda akatimiza malengo saa nne asubuhi basi anarudi kulala na mke wake

hawana mambo ya kulazimisha mtu kwenye biashara wala kuita ita uje kununua

akitaja bei hata hana haja ya kukuuliza una shingapi,ukishindwa ondoka ataishia kusema Si riziki...

konda wa daladala kama hana chenchi anakurudishia hela yako uende bila matusi wala kashfa...konda akiita mtu mara moja harudii na mara nyingine anamuomba abiria siti hasa hasa ikiwa jioni kachoka,konda anakaa abiria anasimama

9.wageni wengi ndio wanawasanua akili sasa hivi wanaamka kiasi,lakini wameamka kipindi ambacho wengi wamepigwa gap kubwa sana.

uzuri kihistoria hakuna mmiliki halali wa hivi visiwa lakini kwa sasa mambo mengi yamekamatwa na wageni hasa wahindi na waarabu,wabantu wana hali mbaya sana za kiuchumi...ukimkuta masikini zanzibar ni masikini kweli kweli

10.wanapenda umwinyi na kusifiwa au muhindi

wewe ukimwona mweupe mwite mwarabu basi anafurahi sana,zawadi mpe kanzu na balaghashia

kama unataka demu basi anzia hapo kwenye kumwita mwarabu,na wao huwa wanasema wao ni waarabu,kumbe ni mazao ya muingiliano huo uliotokea zamani kati ya wageni mbalimbali waliokua wakifika hapa kwa shughuli zao.

ila wao wanachojua kwao ni Oman

All in All.....Zanzibar kuzuri kuishi sana ila usiwe na makuu,hautapata huduma nyingi kwa haraka na nafuu kama ulivyozoea bara

hakuna bar na gesti holela mtaani,ni mara chache sana kupishana na mlevi na akitokea mtu anakatiza mahala kalewa basi wanaitana mtaa mzima kuja kumshangaa.

Hahah haah
 
Mtoa mada hujakosea hata moja isipokuwa yapo mengine hujayaainisha.
Nadhani ni kutokana na shughuli unayofanya,mazingira ubayoishi ama sehemu unazotembelea hasa wakati wa kuikamilisha research yako.
Niko town kabisa hapa yapata miezi 9 sasa.
Wanawake wa huku si kwamba hawajiuzi nooo wanajiuza sana tuu tena sanaa. Ila style yao ni mwendo wa simu tuu na zaidi mchana.
Na ndo maana mwanamke huku akipatwa jamaa lenye pesa kuachika ni kawaida kisha akaolewa teana wao hujiita wanabahatii
 
Hili la kua taratibu,jmn jmn wazanzibar hawana hrk hlf wote they are very slow,cjui wanwezaje kwakweli!!!
 
Unamiliki kabisa pasi na shaka. Mimi ni mbara (mbongo),nimejenga na Nina viwanja vingine pia
Mtu akija huko kufanya kazi Amani Abeid airport je mtaa gani mzuri kuishi karibu na hapo,ambapo ataweza panga nyumba private?
 
nimecheka sana hapo konda akichoka anamwomba abiria akae

akikosa chenji anakurudishia isiwe tabu hahahahaha
ni kweli,nilipanda boda pale mchukwani boda akawa hana chenji akaniachia hela.ilibidi nichukue no jioni nimtafute,fikiri hata hanijui,na wala hakuwa na mpango wa kufuatilia,mimi ndio nilimwomba no
 
Kitimoto ipo, Kwa Dani Dole, kule bububu kwenye bar zinazofuga Malaya, kule kanisa katoliki, na maarufu sana Mama Janet kule Chukwaani. Ila Kuna super markets kadhaa zinauza kitimoto.
Kiufupi ipooooo.
mama jane chukwani anajaza wateja balaa,na vyumba vya pale vinajaa fasta
 
Back
Top Bottom