Mamaafacebook apata ajali

Mamaafacebook apata ajali

Pole sana Mungu atakupa hujambo ya haraka
 
Iambie ile crew ya Narok nitakuwepi hapo jioni.
Niko wiki ya pili sasa....afu wifi marejesho yupo kweli?

Mweeee........kimya kimya hivyo.......
Andaa mzinga wa Malibu kama faini yako........
Huwezi nichezea namna hii.........
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mamaafacebook.
suregirl, hebu tueleze hiyo ajali imetokea wapi?
Na vipi hali ya mgonjwa kwa sasa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom