suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
- Thread starter
- #21
Pole sana mamaafacebook.
suregirl, hebu tueleze hiyo ajali imetokea wapi?
Na vipi hali ya mgonjwa kwa sasa?
imetokea railway au barabara ya 1 mgonjwa anaendelea vizuri.
Pole sana mamaafacebook.
suregirl, hebu tueleze hiyo ajali imetokea wapi?
Na vipi hali ya mgonjwa kwa sasa?
Ndio mkuu Hospitali ya Mkoa, sidhani kama kuna Bombo nyinginePole xana... Bombo ni Tanga au?
imetokea railway au barabara ya 1 mgonjwa anaendelea vizuri.
Pole mamaafacebook nakutakia nafuu ya haraka tunakuombea
duh..mpe pole sana, Mamaafacebook
imetokea railway au barabara ya 1 mgonjwa anaendelea vizuri.