Mamaafacebook apata ajali

Mamaafacebook apata ajali

mamaafacebook, pole natumai unaendelea Vyema sasa

..........pole sana, get well soon.

namuombea pia mgonjwa alone nataka aweze kurejea jukwaani hapa

Mungu ampunguzie Makali ya maumivu...apone Haraka.. Amen.

Aiseeh, nimepokea taarifa hizi kwa uzuni sana, pole zake binamu yetu, get well soon

guys asanteni nashukuru maombi yenu yameniwezesha nashukuru mguu sijambo majeraha nayo yanakauka mungu ni mwema
 
Pole sana, Mungu amponye haraka.
aaamyn asante kwa dua
Poleni sana.
ni mitihani tu naendelea vizuri
mamaafacebook
pole sana, tunakuombea upone haraka iwezekanavyo.

Dua zetu kwa wingi tunakuombea swahiba
ammyna asantee
Jaman mamaafacebook pole sana shogaa angu
tumboo nashukuru sijambo amyn mbona mzima japo naguchia sasa
Mwambie namuombea dua apone haraka
amyn na asant kwa duaa
Pole mama la mama,mwe jamani mke wng mtarajiwa,pole upone mapema tukamilishe utaratibu.
tamuuuuu haha santee
duh..mpe pole sana, Mamaafacebook
kiwatengu asante
Pole mamaafacebook nakutakia nafuu ya haraka tunakuombea
amyn nashkuru kwa dua
Mpe pole sana
aasantee
Pole mamaafacebook
asantee
Ugua pole lady lakini pole haitoshi wajameni yupo pande ipi tumletee juice , card na mauwa.
ahahah nipo kwetu najiangalia hali
Duh pole madame
thanks
Pole sana Mungu ni mwema kwako utapona tu
amyn asante
Pole sana mamaafacebook
asante
Pole sana bi mkubwa...

Ningelikuombea kwa jina la Mungu wangu lakini ndio kwa sredi ya Bujibuji uliandika humtambui...
aahhaha thanks
Mungu wangu
Mwanyasi
 
Last edited by a moderator:
nina wiki kama tatu sasa
Pole sana, Mungu amponye haraka.

Poleni sana.

mamaafacebook
pole sana, tunakuombea upone haraka iwezekanavyo.

Dua zetu kwa wingi tunakuombea swahiba

Jaman mamaafacebook pole sana shogaa angu

Mwambie namuombea dua apone haraka

Pole mama la mama,mwe jamani mke wng mtarajiwa,pole upone mapema tukamilishe utaratibu.

duh..mpe pole sana, Mamaafacebook

Pole mamaafacebook nakutakia nafuu ya haraka tunakuombea

Mpe pole sana

Pole mamaafacebook

Ugua pole lady lakini pole haitoshi wajameni yupo pande ipi tumletee juice , card na mauwa.

Duh pole madame

Pole sana Mungu ni mwema kwako utapona tu

Pole sana mamaafacebook

Pole sana bi mkubwa...

Ningelikuombea kwa jina la Mungu wangu lakini ndio kwa sredi ya Bujibuji uliandika humtambui...

Hii habari imetokea lini?
 
Back
Top Bottom