Mamaafacebook apata ajali

Mamaafacebook apata ajali

asanteni kwa dua zenu nashukur sana
Pole mamaafacebook mungu ampe tahfif

Daaa MPE polee sana amelazwa Hosp ganii?


Pole sana Mungu atakupa hujambo ya haraka



pole sana


Pole sana mamaafacebook.
suregirl, hebu tueleze hiyo ajali imetokea wapi?
Na vipi hali ya mgonjwa kwa sasa?

Pole xana... Bombo ni Tanga au?

...

amyna..
 
mamafacebook pole sana mama
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni wiki ya tatu sasa, tulichelewa kupata taarifa.

Muhimu unaendelea vizuri hilo ndio neno



Tunafurahi sana kusikia unaendelea vizuri, Mungu mkubwa
HARUFU nashukur kwa dua zako nashukur sana
 
Last edited by a moderator:
Huo mguu upone tu kabisa,tena ucheze na netball.
 
Back
Top Bottom