@Behaviourist hujauliza lile swali lako pendwaAsanteni wote watoto wangu wazuri tutazidi kufahamiana kadri siku zinavyoenda
Napenda bidha za wa mama....unauzaje?Hamjambo wanangu wazuri Mama yenu nimekuja humu kwa lengo moja tu la kutafuta wateja wa bidhaa zangu nipokeeni wanangu na naomba ushirikiano wenu wanangu wazuri
Mzee wa
WelcomeHamjambo wanangu wazuri Mama yenu nimekuja humu kwa lengo moja tu la kutafuta wateja wa bidhaa zangu nipokeeni wanangu na naomba ushirikiano wenu wanangu wazuri
Nimepitia Comments Kuna Jambo Siyo BureWelcome
Noma sanaNimepitia Comments Kuna Jambo Siyo Bure
Yaliyomo Yamo!!!