Hii haina tofauti na kusema Mama Zitto avamiwa amtambua mmoja wao ni muumini mwenzake wa Kanisa la Yesu mfalme! Tungeshtuka?
msianze kuleta tararira hapa!
Sasa mama wa zito ana nini mpaka atake kufanyiwa unyama kwanza huyu mama si mlemavu,huyu ni malando pasipo shaka make yeye ndiye kapewa jukum la kumchafua zito.
Acha uchochezi wako.Hata kama zito ndo kakuhonga ili uchafue chadema ni sawa na kinyesi cha mtoto kwa mama yake
Mama mzazi wa Naibu katibu mkuu wa Chadema Zitto Kabwe, amenusurika kutekwa. Waliomvamia wamemtishia kumuua huku wakimtaka awape laptop,simu na mawasiliano yake mengine...
Habari zaidi magazeti ya leo.
Hii haina tofauti na kusema
Mama Zitto avamiwa amtambua mmoja wao ni muumini mwenzake wa Kanisa la
Yesu mfalme! Tungeshtuka?
msianze kuleta tararira hapa!
Hivi familia ya zitto wameikosea nini chadema. Kila siku misukosuko ya kutishiwa kutolewa roho
Mtanzania na propaganda wamesema mama yake Zitto alimwona kada wa chadema na anamfahamu yale yale ya baba yake Mtela Mwampamba, mtu amuonye tu Shida binti Salum ana heshima kwenye jamii asijiingize kwenye propaganda za kusaidia usaliti wa mwanane wa masalia, mama tulia kula vya mwanao pole pole dhambi ya uongo ni mauti , sasa hili dili litakufa kama lilivyokufa la video, pole mama habari ya leo ni liwale
Mama mzazi wa Naibu katibu
mkuu wa Chadema Zitto Kabwe, amenusurika kutekwa. Waliomvamia
wamemtishia kumuua huku wakimtaka awape laptop,simu na mawasiliano yake
mengine...
Habari zaidi magazeti ya leo.
GAzeti la Mtanzania linaripoti Mama mzazi wa zitto kabwe amevamiwa na majambazi.
Walikuwa wanataka computer na kiwekea kumbukumbu flash.
Kada wa chadema atajwa kutambuliwa na mama huyo.Alikuwa miongoni wa majambazi waliomvamia.
Pole mama Zitto.