Mama yake Zitto avamiwa

Mkuu, nguvu ya zitto ndani ya cdm usipime, kama huamini basi muulize dr slaa
 
Join Date : 8th April 2013
Posts : 853
Rep Power : 473
Likes Received108
Likes Given36
 
tatizo lenu mnajua CHADEMA ni DR.Slaa na Mbowe, CHADEMA ni ya UMMA...
 
Usikubali kuwa mnafiki kwa kushinikizwa au kulaghaiwa kwa vijiposho vya muda mfupi
 
bungeni wewe ni kada wa hatari,mambo ya makao makuu ya CHADEMA UMEYAPATA WAPI.kuweni makini na propaganda zenu,tukio la uhalifu ni tukio la uharifu tu,so mambo ya siasa hapo yana toka wapi,hivi sumu ya mwakyembe aliyokuwa anairatibu ni nani kama sio CCM na serikali ya JK,VIPI AJARI WALIYOKUWA WANATAKA KUMTENGENEZEA MWAKYEMBE,vipi tindikali ya KUBENEA,vipi kuvamiwa kwa ofisi za mwanahalisi,vipi mambo ya DR ULIMBOKA kaka ccm ni waovu ila MUNGU yupo atawaumbua tu mchana kweupe
 
Last edited by a moderator:
Only fools can believe this rubbish by mtanzania tabloid!!!!

Watanzania amkeni! Acheni kumeza kila uchafu unaotoka ccm na vyombo vyake.
 
Usikubali kuwa mnafiki kwa kushinikizwa au kulaghaiwa kwa vijiposho vya muda mfupi

Join Date : 22nd February 2013
Posts : 1,039
Rep Power : 516
Likes Received81
Likes Given10

Unatisha muda mfupi Post kibao, naona mnalipwa kwa wingi wa posts, poleni sana magamba
 

1. Kama mweli walihitaji Laptop, hivi wasingeipata bila hata ya kutumia Bastora?
2. Gaidi hata siku moja hakupi nafasi ya kumwita mtu mwingine, ni kimya kimya unawekewa mtutu na wewe
mwenyewe pamoja nao unatangua chumbani kuonyesha na kutoa wananchokitaka.
3. Kwa nini mlizi aache gate wazi?

Tumia akili zaidi kutafakari sentensi moja moja

1. Dereva ni shahidi kwa pili kwamba alimwona huyo kada wa chama alitoa bastora
2. Tayari Kaimu Mkurungezi wa Usalama wa Taifa yumo kwenye kesi hii
3. Mlinzi naye pia ni shahidi wa tatu katika gwalide la utambuzi
4. Yule kada wa CDM aliyetambuliwa lazima atakuwa mwananchama kweli na atasema ukweli kwamba alitumwa na Kaimu Mkurungezi wa ulinzi na usalama.

Kesi ni ya Ughaidi - inakituhumu chama cha demokrasia na maendeleo. inaweza kuunganihswa na ile ya kwanza ili kupata vitu kamili.

Yetu macho -- Tanzania oyeeeeeeeeee!!!

My Take: Kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha vyama vingi kama kweli hatukuwa na nia ya dhati ya kushindana kwa hoja:
 
CHADEMA Bila ZITTO inawezekana!! kuna VICHWA kibao, ZITTO alikuwa zamani enzi za EPPA na RADAR, sio sasa!!
 
shida mnahukumu mleta habari badala ya kuihukumu habari yenyewe.........huu ni mchezo wa kuwakamata vijana wa Chadema waliowarekodi wakina Sinbard Mwanga katika harakati za kutunga ushahidi kesi ya Lwakatare , wait you shall see....

Baada ya kutoka hapo polisi , Shida alimpigia simu katibu mkuu wa CHADEMA DR. WILIBROD SLAA na kumueleza juu ya tukio hilo, DR Slaa alimwambia kwamba aende kuripoti katika ofisi yao ya ulinzi na usalama makao makuu ya CHADEMA. Alipoenda ofisi ya ulinzi na usalama alimkuta Naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama aitwaye AHMED SABULA ambaye alimwambia Shida kwamba, wamepata habari juu ya tukio hilo na pia wanazo habari za yeye kupita mikoani kumnadi mwane Zitto Kabwe ili apate uenyekiti wa CHADEMA. Maneno hayo yalimkatisha tamaa, Akaamua kuondoka, lakini alipofika njiani alipigiwa simu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alimfokea kwanini alikwenda kueleza tukio la kuvamiwa na vijana hapo makao makuu ya CHADEMA. Mama SHIDA shida alikosa la kusema na hatimaye akaanza kuamini kuwa vijana wale walitumwa na Mbowe ili kumtisha au kumdhuru.
 
Join Date : 22nd February 2013
Posts : 1,039
Rep Power : 516
Likes Received81
Likes Given10

Unatisha muda mfupi Post kibao, naona mnalipwa kwa wingi wa posts, poleni sana magamba
Baada ya bi kidude kufariki sasa umeamua kushinda humu jf. Maana akiwa hai ulikuwa unapata mkate kupitia matamasha yake na kujibaraguza kwa kupiga picha na akina lady j dee
 
Huyu mama na mwanae wote Chama Cha Mafisadi tu, sijui wanangoja nini huku?! hawa chokochoko hawakuanza leo!! timua tu!!

kumbe chadema ni chama cha chamafisadi.well said kama wanajikopesha bila utaratibu tufanyeje
 
Huyu mama anasema aliwahi kuvamiwa akiwa mwanza,halafu swali lingine linalonifanya nifikkri ni kwa nini mwenyekiti alimfokea yule mama alipokwenda kupeleka malalamiko ya kuvamiwa makao makuu ya chma.
 
Kama unaamini cdm ni umma, basi ingia kwenye anga za mbowe na slaa uone kama utatoka

kweli mkuu,kama haya yanayo mkuta zzk na mama yake mzazi au kama ilivyo mtekea kibanda baada ya kutoka freemedia
 

naona mmeanza ku pre-empty mambo kama kawaida yenu..wewe umefungua id leo saa 8 kwa ajili ya kupost huu uzushi wako..watanzania hawadanganyiki, nia na dhamira zenu ni ovu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…