Mama yake Zitto avamiwa

Mama yake Zitto avamiwa

Wewe
lazima uko kundi moja na Barcelona katika kuandaa mkakati wa kumteka huyu mama wa watu. BARCELONA kajiunga. jF leo hii na mahsusi kwa ajili ya tukio hili la kumteka MAma Zitto. Hivi HUyu Zoka anayetajwa hmu siyo yule aliyetajwa na gazeti la mwanahalisi kuwa ni rafiki wa karibu na ZITTO? Halafu leo anakwenda kumteka Mama yake? Kweli CDM mnatapatapa

Hapa utakuwa umekatika kichwa,wadhalimu ninyi!!!
 
lengo la stori hii ni kumkamata Sabula Hemed ambaye aliwarekodi wakina Mwanga hoteli ya Sea Cliff .....jikumbusheni tamko la bobezi Marando ....over

Over......labda nipo nyuma ya wakati ina maana Sabula aliwahi kuwarekodi usalama wakipanga mbinu chafu?nini kimeendelea
 
Wana JF inawezekana kuchoma mafuta ya gari kwenda kwa mama zitto kuchukua 20,000/= then siku nyingine muende kuchukua 10,000/=? haya si maigizo jamani?
 
una akili sawa sawa wewe???mbona unataka kupotosha mada na ukweli??? mama yake zitto amemtambua kada wa chadema. hata hivyo tuwe tunasoma na kuelewa kabla ya kuchangia.
we ndio huna akili kabisa unataka kutuaminisha ujinga wako huo wa kutungwa.
 
Chadema ina kila sababu za ukuichukua nchi hii mikononi mwa maccm kwani yameshindwa kuwalinda watanzania ili hali waliapa kuwalinda....

wataipewa na nani mkuu wakati wao ndio wanatishia uhai wa wananchi???
 
Hii habari imetengenezwa tu,hao walioenda kumteka mama zitto ni wale wale wanaotumika kuchafua chadema.. ila mwisho wa yote the truth will prevail... you may fool some people for some time but you can not fool all the people all the time...
 
ila huu mtindo wa kutumia jina "ZITTO" kuzoofisha CHADEMA .. unakera na kutia hasira sana .. maana issue nyingi sana zinazoonekana zinaweza kuichafua CHADEMA jina ZITTO lazima lijitokeze sasa mimi kuna maswali ya msingi huwa najiuliza

1.walio nyuma ya huu mpango "wanajijua " wanahisi Jina ZITTO lina impact sana kwenye Hili vuguvugu la MABADILIKO ambapo wananchi walio wengi wamechosha na MAISHA MAGUMU na wako tayari kwa mabadiliko..? kwa maana nyingine wanahisi kutumia jina zitto nakuonekana ni mtu ambaye anaonewa na ndani ya chadema kunaweza kubadili upepo wa kisiasa kwa kutumia influence ya zitto kwenye jamii..?

2.Je ZITTO anaushawishi wa kiasi hicho kiasi cha wao kuamini wanaweza wakaibomoa CHADEMA na kuteketeza harakati za MABADILIKO ambazo kwa vyovyote vile hakuna anaweza kuzizuia ukizingatia WANANCHI wameshachoka na haya maisha MABOVU. kutuimia jina zitto.?

huu ni mtazamo wangu binafsi bado huwa na uamini sana kutokana na kuunganisha matukio inaonekana ZITTO ana mtazamo na msimamo tofauti na viongozi wengi wa chadema jambo ambalo hakatazwi ila Huo MTAZAMO na MSIMAMO wake unaonekana kutoungwa mkono na viongozi walio wengi na ndio huwa unatumiwa kama kete ya kutengeneza migogoro kati yake na viongozi wengine ...
Binafsi naamini kama zitto anataendela na misamo yake hasa ila ya one man army sidhani kama atafika mbali

hili na kuvamiwa kwa mama yake si jambo zuri na binafsi natoa pole sana kwake
ila kulihusisha na CHAMA naona sasa NI KUKICHAFUA CHAMA ....
NINACHO AMINI KWA SASA MABADILIKO NI LAZIMA KWA HIKI KIZAZI NA KINACHOKUJA ..
yangu ni hayo
 
Habadani hasirani, sitokuwa na imani kwa the so called Zitto

Over.
 
Last edited by a moderator:
we ndio huna akili kabisa unataka kutuaminisha ujinga wako huo wa kutungwa.

MAELEZO YA MAMA ZITTO
, Shida alimpigia simu katibu mkuu wa CHADEMA DR. WILIBROD SLAA na kumueleza juu ya tukio hilo, DR Slaa alimwambia kwamba aende kuripoti katika ofisi yao ya ulinzi na usalama makao makuu ya CHADEMA. Alipoenda ofisi ya ulinzi na usalama alimkuta Naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama aitwaye AHMED SABULA ambaye alimwambia Shida kwamba, wamepata habari juu ya tukio hilo na pia wanazo habari za yeye kupita mikoani kumnadi mwane Zitto Kabwe ili apate uenyekiti wa CHADEMA. Maneno hayo yalimkatisha tamaa, Akaamua kuondoka, lakini alipofika njiani alipigiwa simu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alimfokea kwanini alikwenda kueleza tukio la kuvamiwa na vijana hapo makao makuu ya CHADEMA. Mama SHIDA shida alikosa la kusema na hatimaye akaanza kuamini kuwa vijana wale walitumwa na Mbowe ili kumtisha au kumdhuru
MAMA ZITTO amesema kuwa alipokuwa mwanza, hotelini aliwahi pia kuvamiwa na vijana wawili wa kiume ambao walijifanya wamepotea chumba.
 
mi nadhani huu sasa umegeuka mchezo wa kuigiza, hivi CCM na TISS shida zote na matatizo yote ya watanzania mmeyaweka pembeni mkaamua kushughulika na ujinga huu wa kudanganya wa tanzania?
 
Sasa hivi kila kibaka ili habari yake iwe muhimu lazima aambiwe ni mwanachadema,

Ningemsihi mama yetu mpendwa atulie aendelee kula mema ya nchi kwa amani, asikubali kuingizwa kwenye mchezo huu wa siasa chafu, atuache sisi na mwanae kipenzi Zitto tuendelee na siasa zetu.
 
siku hizi ndio mtindo , umesahau ya you tube na Lwakatare?
We bacelona wewe kwa nini usiwe muwazi juu ya ushahidi wako huu,nikisoma post yako kunavitu vingi unajifunga kama ungeku uko polisi ulikuwa mtegoni mbona.
 
Huyu mama na mwanae wote Chama Cha Mafisadi tu, sijui wanangoja nini huku?! hawa chokochoko hawakuanza leo!! timua tu!!
 
bacelona is offline
bacelona
Today 14:38
#289 Report Post
bacelona's Avatar
Junior Member Array

Join Date : 24th April 2013
Posts : 5

Rep Power : 302

Likes Received
6
Likes Given
0

Default Re: Kilichopo nyuma ya uvamizi wa Mama Zitto ni hiki - CHADEMA chukueni hatua!

naona mkuu umeamua kufungua ID kwa ajili ya pre empting.
 
MAELEZO YA MAMA ZITTO
, Shida alimpigia simu katibu mkuu wa CHADEMA DR. WILIBROD SLAA na kumueleza juu ya tukio hilo, DR Slaa alimwambia kwamba aende kuripoti katika ofisi yao ya ulinzi na usalama makao makuu ya CHADEMA. Alipoenda ofisi ya ulinzi na usalama alimkuta Naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama aitwaye AHMED SABULA ambaye alimwambia Shida kwamba, wamepata habari juu ya tukio hilo na pia wanazo habari za yeye kupita mikoani kumnadi mwane Zitto Kabwe ili apate uenyekiti wa CHADEMA. Maneno hayo yalimkatisha tamaa, Akaamua kuondoka, lakini alipofika njiani alipigiwa simu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alimfokea kwanini alikwenda kueleza tukio la kuvamiwa na vijana hapo makao makuu ya CHADEMA. Mama SHIDA shida alikosa la kusema na hatimaye akaanza kuamini kuwa vijana wale walitumwa na Mbowe ili kumtisha au kumdhuru
MAMA ZITTO amesema kuwa alipokuwa mwanza, hotelini aliwahi pia kuvamiwa na vijana wawili wa kiume ambao walijifanya wamepotea chumba.
Du mkuu, tunakushukuru sana kwa taarifa hii. Sasa ukweli unaanza kujulikana. Kumbe mzee mbowe ndo kaandaa mpango huo kwa kushirikiana na dr slaa? Du kweli wameamua muda huu
 
Huyu mama na mwanae wote Chama Cha Mafisadi tu, sijui wanangoja nini huku?! hawa chokochoko hawakuanza leo!! timua tu!!

mlianza kwa sumu mkashindwa sasa mmeamua kummaliza mchana kweupe
 
Sasa hivi kila kibaka ili habari yake iwe muhimu lazima aambiwe ni mwanachadema,

Ningemsihi mama yetu mpendwa atulie aendelee kula mema ya nchi kwa amani, asikubali kuingizwa kwenye mchezo huu wa siasa chafu, atuache sisi na mwanae kipenzi Zitto tuendelee na siasa zetu.

Siasa maji taka eti ametoa wapi pesa za kuzunguka mikoa yote kumnadi Zitto,? hivi anategemea kunadiwa na mama yake? Usalama wa taifa kwa kutengeneza move juu ya move, hii si wangesubiri uchaguzi wa ndani ukianza? wameshachemka mapema sana aise!

Mama Lulu,Tunakuheshimu sana tunakupenda ila fanya yako na sisi vijana tufanye yetu, ....
 
Last edited by a moderator:
MAELEZO YA MAMA ZITTO
, Shida alimpigia simu katibu mkuu wa CHADEMA DR. WILIBROD SLAA na kumueleza juu ya tukio hilo, DR Slaa alimwambia kwamba aende kuripoti katika ofisi yao ya ulinzi na usalama makao makuu ya CHADEMA. Alipoenda ofisi ya ulinzi na usalama alimkuta Naibu mkurugenzi wa ulinzi na usalama aitwaye AHMED SABULA ambaye alimwambia Shida kwamba, wamepata habari juu ya tukio hilo na pia wanazo habari za yeye kupita mikoani kumnadi mwane Zitto Kabwe ili apate uenyekiti wa CHADEMA. Maneno hayo yalimkatisha tamaa, Akaamua kuondoka, lakini alipofika njiani alipigiwa simu na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alimfokea kwanini alikwenda kueleza tukio la kuvamiwa na vijana hapo makao makuu ya CHADEMA. Mama SHIDA shida alikosa la kusema na hatimaye akaanza kuamini kuwa vijana wale walitumwa na Mbowe ili kumtisha au kumdhuru
MAMA ZITTO amesema kuwa alipokuwa mwanza, hotelini aliwahi pia kuvamiwa na vijana wawili wa kiume ambao walijifanya wamepotea chumba.
Hii nayo mpya mii inaniogopesha hebu fafanua nasi tujue hivi vitu vipoje.
 
Back
Top Bottom