The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,359
- 103,671
Ngoja nikalete maandazi kabla haijapoa,naona umeileta kavu kavu tu.
Meaning kudanga yaani wanaume wanadangaUdinga eeeh 😂😂
Umemaliza kila kitu mkuu, say no more.😂Wewe ushamuelewa uyo maza usitupange
Ndugu mwananchi mbona umesha jichukulia maamuzi yako kwanini unakuja kutusumbua raiaNataka huyo mshangazi anizalie watoto
Nikuonee wivu ili iweje mkuu kwani hapo ujajipamba na mieleniMimi ni handsome natural, matusi ya nini, ama wivu umekutawala
Anakwambia et ni handsome by naturalDaaah AVATAR yako inanipatia mtihani Shekhe
Hili tatizo silipendi sana, mnatuaibisha kama taifa.Kwanini unaweka R mzee kwenye L.

Kuna mtu kakosea kwenye kukosoa doooooh alafu bado anakazia ukosoaji 😀
Bro hapo nikwamba ushamuelewa mmama wa watu acha kuzunguka we mpange nae apangike kama ulivyompanga mtoto wake basi ikiwezekama isaidie familia nzima kwa namna tofauti kaka ulimsaidia kwa hela hao wengne wasaidie kivingne kama ulivyomkula dada mtu ikiwezekana hata yule dada mwingine pita nae uwe baba wa kambo wa msela wako pia shemeji yake, mama awe mkeo pia mama mkwe hio inaitwa 2 in one hope umeelewa boss
Nikutakie utekelezaji mwema
Me naenda![]()
Anaandika kama analalamika mixer kushangaaHaha Pole sana
Ila uandishi wako unanifurahisha 😊
Sawa bossSafi sana, wewe ndo umenishauri jambo jema, nitalifanyia kazi nikienda Dar es slaam
Kwa kweli!, maana ni mrembo sana.Avatar, na muandiko wako vinadhihirisha wewe ni timu pinzani
maamuzi ni yako......ila kumbuka ni mama wa rafiki yako.

Kula unaweza kumla.yeyote hata dada yako ukitaka....ila matokeo na jamii itakuchukuliaje.Kwani mama wa rafiki angu hawezi kuliwa.![]()
Kula unaweza kumla.yeyote hata dada yako ukitaka....ila matokeo na jamii itakuchukuliaje.
anyway; tuseme mama yako aliwe na rafiki yako utajisikiaje
