iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,131
- Thread starter
- #21
Hii uongo kabisa
Sio razima uamini, ni maamuzi yako kuamin ama kutokuamin
Hii uongo kabisa
Sio hata kidogo nikijana muzuri sana ila anapenda alelewe na kapata jimama na mahali pakuishi shida iko wapiavatar, na muandiko wako vinadhihirisha wewe ni timu pinzani
Nimeacha kati kusomaavatar, na muandiko wako vinadhihirisha wewe ni timu pinzani
amekaa kihovyo hovyoSio hata kidogo nikijana muzuri sana ila anapenda alelewe na kapata jimama na mahali pakuishi shida iko wapi
Ushauri ulitaka mahali pakuhamia sasa umepata mama hamia sasa huko ili ukatafute life jipya , ulitaka mapenzi haya umeshapewa na huyo demu sasa upewe nini tena jamani
NakaziaWewe ushamuelewa uyo maza usitupange
Kabisa hajulikani ni group hasi or chanya ila huyu ni hasi anapenda aleleweamekaa kihovyo hovyo
Sasa kumbe unaomba ushauri na unamajibuNataka huyo mshangazi anizalie watoto
Mama wa watu kukupigia simu na kukujulia hali, wewe kimbhoro dinda umetafsili kua anataka umle?
Angalia usije kuumbuka na kujiaibisha wewe na ukoo wako
Mama wa watu kukupigia simu na kukujulia hali, wewe kimbhoro dinda umetafsili kua anataka umle?
Angalia usije kuumbuka na kujiaibisha wewe na ukoo wako
Nauri-Nauli,,Uzarendo-Uzalendo n.k!!Achana na kujifunza kucheza amapiano tuu za kina chinno Wanna Man,,ujifunzage na Vitu vya msingi Haswa kuandika Kwa usahihi na ufasaha!!
Ale chuma hicho kama vipiNakazia
NakaziaMama wa watu kukupigia simu na kukujulia hali, wewe kimbhoro dinda umetafsili kua anataka umle?
Angalia usije kuumbuka na kujiaibisha wewe na ukoo wako
Wee atapata laanaAle chuma hicho kama vipi
Si anataka ashauriwe kwa jambo ambalo anajua sio sahihiWee atapata laana
Mmeambiwa muheshimu wakubwa na sio kuwala kimasihara
Wazazi msiwachokoze vimariio kama hivi vitawala 😂🤣🤣🤣Wee atapata laana
Mmeambiwa muheshimu wakubwa na sio kuwala kimasihara