Mama yake na rafiki yangu simuelewi

Mama yake na rafiki yangu simuelewi

Inaonekana wewe ndiye tatizo
1.dada wa mshikaji wako ni dada yako pia
2.wewe ni kijan wa hovyo baada ya tukio hilo juu
3.wewe unatengeneza mazingira ya ukaribu
4.mama wa mshikaj wako ni mama yako

Ila kwa tabia yako iyo ya kwanza utakula kuku na mayai,then unatuletea upuuzi
 
Dada wa rafiki ako ukimpenda hauoi.?
 
Nauri-Nauli,,Uzarendo-Uzalendo n.k!!Achana na kujifunza kucheza amapiano tuu za kina chinno Wanna Man,,ujifunzage na Vitu vya msingi Haswa kuandika Kwa usahihi na ufasaha!!
Hata heading yake ameandika hovyo!

"Mama yake na rafiki yangu simuelewi"
Badala ya
"Mama yake Rafiki yangu simuelewi"
Au
"Mama wa rafiki yangu simuelewi"
 
IMG_5090.jpeg
 
Back
Top Bottom