iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 452
- 1,131
- Thread starter
- #41
Wee atapata laana
Mmeambiwa muheshimu wakubwa na sio kuwala kimasihara
Sasa yeye anataka kuzidisha ukaribu yan hata mama angu huwa hanijari vile jmn
Wee atapata laana
Mmeambiwa muheshimu wakubwa na sio kuwala kimasihara
Ache udingaSi anataka ashauriwe kwa jambo ambalo anajua sio sahihi
Anazingua sanaSi anataka ashauriwe kwa jambo ambalo anajua sio sahihi
Kukupigia tu simu ushawaza mengine kijana.Sasa yeye anataka kuzidisha ukaribu yan hata mama angu huwa hanijari vile jmn
Achana pia na uraibu wa kutazama video za porno zinakuathiri mnoo,,,Sawa Dogoo!!Sawa mke wangu mtiifu
Havitaniwi khaWazazi msiwachokoze vimariio kama hivi vitawala 😂🤣🤣🤣
NakaziaKukupigia tu simu ushawaza mengine kijana.
Tafuta pisi awe anakuondolea ukame hayo mawazo yatapotea
Udinga eeeh 😂😂Ache udinga
Havitaniwi kha
Kwa hizo r nahisi ushakula huyo maza
Hivi ni nauli ama. Nauri
Hawataki kuzeeka na wanataka waliwe na vijana wadogo wawavunje UTI wa mgongo sio wazee wenzao kimoko chalimama anaejipenda