Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

Kwanini huyo MTUME WA CCM, MTUME Steven Wassira hakututabiria kwamba Shemeji yake Mama Rachel Wassira atahamia CDM kabla CDM haijafa 2015?!

Ilikuwaaje Mtume Steven Wassira Mungu akakunyima kukuonesha hili ONO la shemeji yako?! Ninaanza kuwa na wasiwasi huenda Mtume wa CCM Steven Wassira ni type ya akina Marehemu Sheikh Yahya! (RIP)
 
mkuu ulitakiwa uongeze hapo kwenye red ISIPOKUWA NAFASI YA MWENYEKITI. ni vizuri ukamalizia.
 
Sio kila anayejiunga chadema anaipenda chadema,ila anayeijenga chadema anaipenda chadema.pia sio kila anayetoka ccm anaichukia ccm ila maslahi binafsi.
 
Rachel Wassira ni mke wa George Wassira mmoja wa waasisi wa Chadema, ambaye pia ni Mkubwa wa Steven Wassira (waziri)...

Sasa hii nayo ni khabari kubwa? Watoto tayari walikwishatangulia na baba yao yuko kule.............si ni mkate tu na kulitumikia tumbo ndiyo siasa za nchi hii?
 
Hao ndo watakaokimaliza chama......watatoa siri za chama na hapo ndo usemi wa wasira utatimia. CDM waangalie sana wengine wanakuja kuchukua siri zote.
 

Ukiona hivyo ujue huyo mama sio bure bure kuhamia Chadema kuna vitu kaja kuvitekeleza,ahamie Chadema kuna nin cha maana zaid ya kuwekea sumu na kumwagiwa tindi kali
 
Amn ucamn hyo ni mbgu iliyopnd n ccm ili itoe cri z chdem kw ccm. NI MTAZAMO TU
 
Amn ucamn hyo ni mbgu iliyopnd n ccm ili itoe cri z chdem kw ccm. NI MTAZAMO TU

Acha ufu.ala wewe andika kitu kinachoweza kusomwa na watu wazima wakakielewa na sio huu upu.uzi kwani wino unalipia?? Hili ni jukwaa kubwa kupita yote humu jf usilete uzombi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…