Mama wa kizaramo akiongea na bintiye.

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
905
593
{BINTI}:Mama,mi nina mimba. {MAMA}:Imekuwaje mwanangu mpaka unatuletea aibu kama hii kwenye familia yetu?. {BINTI}:Nisamehe mama,ni ajali tu bahati mbaya. {MAMA}:Kwa hiyo ulipata ajali tu,ulikuwa unatembea mtaani,ukatelezea kimsambamsamba juu ya uume uliosimama huku hujavaa ch*pi,then ukapata mimba au siyo?
 
Hahahaaa.... Yaani nimepata picha jinsi huyo mama alivyokua anaongea na ile lafudhi ya kizaramo ya kuongea haraka haraka.... Nimecheka saaana!
 
Ucpime,umenikumbusha kipindi kile nafanya kazi kisarawe,wazaramo bana!
 
Uuuwiii! Eti Kimsambamsamba!! Umenichekesha sanaa! Ngoja nimalizie kucheka, Kwi kwi kwiiii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom