Mama wa kipare Imetosha

acha uongo,tena inaelekea kabila lenu linakiherehere na kimbelembele na ushakunaku juu!!!!!!!!
Kabila langu ni watulivu sana ukiishi nao hata wewe utapenda. Wapare ni noumer! Huo ndo ukwel hata 'mamaa supika' anajua.
 
Big Up - mama wa Kipare - mjengoni - mbona wengine hawakusema??????? Jamani yanayotendeka Tanzania yanaumiza - wacha wasio na unafiki waseme - KWA SAUTI - KWA UCHUNGU - KWA KELELE ZOTE - ili mradi iwe wazi kuwa WATANZANIA TUMECHOKA.

Asante sana MAMA WA KIPARE - wanawake wengine wote tuko nyuma yako - haijalishi ni WAPRE AU SIO WAPARE.............. endelea kutetea yale unayoona ni HAKI kwa wanaoo newa. AGAIN BIG UP MAMA WA "KIPARE"
 
nyie mnadhani Malecela anampeleka kule anakotaka? lazima kuna support inatoka mahali. wamama wa kipare hawana utani, ni machachari kweli.

No, nafikiri issue ni kwamba mbegu za lile dume la mbegu zime-expire, iko haja ya Dr. kukatiza kwenye zizi la jamaa, fasta tutamsikia wodini akileta another pipoz pawa!! na machachari yooote yataisha.
 
Back
Top Bottom