Mpigie yakuz yavuzYaaani mambo yalikua mengi sana manjata acha tuu..
Yule mama aliachwa mwaka ambao mimi nilikua form 2..
Na ile achana yao ilikua ya kibabe sana sijapata ona..
Mwanamke alikuja na fuso kubeba vitu ndani an mzeee mpaka alichanganyikiwa aiseeeee...
Siku anatoka alisema akija nidaka atanipa jeraha la maisha...
Baba alitoka taraka tatu baada ya yule maza kuondoka bila ridhaa yake...
Baada ya miezi mama akaanza kusumbua mara wakaanza kuperekeshana ustawi wa jamii..
Mambo yalikua mengi mnoo mnoo
Siku nikiwa naenda watcheki wadogo zangu nakuta amechoka mno na hapo akawa ananiomba msamaha na ushauri libao
Wewe unataka kusemaje kwani 😂😂😂Usije ukamchukua kwa kisingizio cha kumlea sasa na wewe!
Wataujua tuu ila kwa kuchelewa sana maana hata baba haelewi hili bifu lililopo kati ya mimi na wanaweDaaah pole sana Mkuu, kuna sumu ambayo huyo mama wa kambo aliwalisha sema ipo siku watakuja kuujua tu ukweli hata kama ni kwa kuchelewa
Naunga mkono hoja tena amuwahi kabla hajafa ili ajue alichopitia mwanaePoor Brain nakuomba ukimuona baba yako mweleze au mtumie hili andiko lako tafadhali!
Sapoti wazazi wengine nawafurahia sana. Mimi nione mtoto ana kovu au hata mama yake mzazi aseme amemchapa, lazima nijue kisa kamili. Siamini mtu yeyote hata mama yake mzazi kwa mtoto wangu. Utajiri wangu ni Watoto wangu na nilipata bahati mbaya kuwa na wachache, ningepata Watoto 20 ningekuwa ni tajiri hapa duniani.Naunga mkono hoja tena amuwahi kabla hajafa ili ajue alichopitia mwanae
Baba ake hatakiwi kufa bila kujua yote aliyopitia mwanae
Doh! Hatari sanaWataujua tuu ila kwa kuchelewa sana maana hata baba haelewi hili bifu lililopo kati ya mimi na wanawe
Ndgu acha tuuDoh! Hatari sana
Ndgu acha tuu
Tumwachie Mungu MkuuNdgu acha tuu
🤣🤣🤣🤣 PSL god kakubali we unabisha nini kuitwa ndama??We jamaa mi sio ndama...
Vishu Mtata jamaa ako karudi tena na majina yake 😂😂😂😂
Ni kina mama wachache mkuu.Nyumba ni mama na kaya ni bana.
Mwenye mamlaka na maamuzi ya nyumba ni baba, na baba anapo kosa kuishi kwa akili (hata awe mama yako mzazi) haya yatatokea.
Mimi ni baba, nina mke na tuna watoto 8.
Watoto 3 tumewazaa namke, watoto 5 alinikuta nao (wana wamama tofauti).
Sijawahi kusikia mtoto ananilalamilia hata jambo wala kuniambia mahitaji yake zaidi mama yao ndie huniambia wakisha zungumza.
Nyumba yetu ina amani tele ingawa mapungifu ya kibinadamu hayakosekwani, kuna kipindi nikiwa likizo hua naona siku za weekends mama mama yao asipo enda kazini, basi yeye wanawe wanacheza rede ama wana ruka msita, basi moyoni nafurahi huku nawapikia mara mojamoja, na hakika ninamshukuru Mungu kwa bahati hii.
Pole sana mkuu na samahani nikisema ulikua na baba mlumbavu
Yule maza apewe tuzo aiseeeee...Ni kina mama wachache mkuu.
Kuna bibi alikua anaishi na watoto wa mke mwenzie kama wanae vile, huwezi watofautisha.
Ila mama wa kambo wa Poor Brain ni kiboko.
Na mwanae wa kike nae alikua anamdunda??Yule maza apewe tuzo aiseeeee...
Wee yule mama hapana aiseee mpaka sasa najiulizaga yule alikua na nia gani na mimi
Hakua anamtembezea kichapo kama anachonipa mimi..Na mwanae wa kike nae alikua anamdunda??
Na vp mkionana saivi inakuaje? Bado ana chuki na wewe?Hakua anamtembezea kichapo kama anachonipa mimi..
Alafu huyu maza kipindi cha mwisho aliwahi nitangazia kwa majirani kuwa namkula mwanae.. hiki kilikua kipindi ambacho nimeridi tena baada ya kuondoka...
Kipindi tupo secondary.... Mwanae kweli alikua mashaallah ila ndo hvo alikua ananiita kaka na mi sikuwahi kuwaza ule ujinga.
Wee kumbe chizi.......Na vp mkionana saivi inakuaje? Bado ana chuki na wewe?
Ili kuendeleza undgu wetu ni vema ukanipa namba ya huyo dada yako, au sio shem?
Huyo ndio unipe mm hao madogo wa kwa mzee wako siwataki.Wee kumbe chizi.......
Huyu mtoto wake wa kike tumekua pamoja huyu sina baya nae sana ila wenye baya na mimi ni wale wadogo zangu wa baba mmoja..
Kuna kipindi niliwahi ongea nae nikawa namwambia awe anawaelekeza wadogo zake kuwa mimi ni kaka yao tuu..
Huyu mdada kwa sasa atakua ni mmama wa maana maana alikua na mwili sio poa.
Kwamba hamjawahi kuonana??Huyu mdada kwa sasa atakua ni mmama wa maana maana alikua na mwili sio poa.
Vishu siwezi nikatoa namba ya mdogo angu au dada angu kwa mtu yoyote wa jfHuyo ndio unipe mm hao madogo wa kwa mzee wako siwataki.
Kwamba hamjawahi kuonana??