Mama wa kambo jamani?

Mama wa kambo jamani?

smile boy

New Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Mama wa kambo amempenda kijana wa mme wake.je kama ni wewe unaweza kuduu?
 
ushasema mama wa kambo sa unauliza nni....................huh,kusoma hajui hata picha tu
 
stori nyingine uongo! Kwa jiran yangu mama wa kambo anasomesha watoto wa 3 wa mumewe, sio wake wa kuwazaa na mumewe kafariki. Huyo mama wa kambo wako ni kahaba!
 
stori nyingine uongo! Kwa jiran yangu mama wa kambo anasomesha watoto wa 3 wa mumewe, sio wake wa kuwazaa na mumewe kafariki. Huyo mama wa kambo wako ni kahaba!

sawa sawa,....unajua hata mimi nimeona mama wa kambo wenye moyo mzuri kama hao,....kwa hiyo ni tabia tu mbaya ya huyo mwanamke kumtaka mtoto wa mwenzie,...na ningekua mimi sikubali hata kwa mtutu wa smg.....ni zaidi ya dhambi ninazozifahamu
 
Kemea roho ya tamaa kwa mama yako, imagine utamuumiza vipi baba yako
 
haha jaman huyo ni mama ako.
Mana anaanza na mama.
Kambo ni jambo jingne.
 
Dhambi zingine ni zakujitafutia makusudi, we ukaduu na mama yako kweli? Babako apite na wewe unataka uchungulie, utakuwa umemtukana babaako matusi yanguoni, acha kabisa huo ufirauni.
 
Alalaye na baba yako ni mama yako, hata kama ni hawara tu lazima kwa kiwango fulani umweshimu. period!
 
Mimi nawewe nikitu kimoja aina maana kinyimana
Unalikumbuka hili song?

Jiraaaani , jiraaani yanguuuu
nimekukoseaaa niniiiii,
kilaaaa unaaachoo nioombaaa
jiraaniii eeeee mimiii ninaaaakupatiaaaa
Kilaaa ninaachookumbaa jiraaniii
mweenzanguuu wanikataaaliaaa

saasaaa.........
 
Jiraaaani , jiraaani yanguuuu
nimekukoseaaa niniiiii,
kilaaaa unaaachoo nioombaaa
jiraaniii eeeee mimiii ninaaaakupatiaaaa
Kilaaa ninaachookumbaa jiraaniii
mweenzanguuu wanikataaaliaaa

saasaaa.........

Hili song nalikumbuka kitambo sana,
Nitwanga pepeta hawa enzi za ally choki ,baba diana,na luiza mbutu.
 
hahahah twanga pepete ninavyoo kupendaaa
ntaakunywaa sumuuu juu yakoo ( Ali Choki )loohh
kulikuwa na miziki mitamu eti khaa..

Sasa hivi hakuna kitu sio dansi wala bongo fleva kote matatizo tu,wanaimba ujinga sana.
 
Back
Top Bottom