Mama usifumbe macho yako, bado niko hapa, bado niko hai. Nilipita kwenye theluji nikiwa na roho iliyovunjika, lakini ninashikilia kila neno uliloniambia. Mama usigeuke upande mwingine, nilipiga magoti, nilijifunza kusali..." 😭❗Ana maanisha nini mkuu?
Anazungumzia realMamy wa kumzaa au mama anawakilishwa na ninMama usifumbe macho yako, bado niko hapa, bado niko hai. Nilipita kwenye theluji nikiwa na roho iliyovunjika, lakini ninashikilia kila neno uliloniambia. Mama usigeuke upande mwingine, nilipiga magoti, nilijifunza kusali..."
Anazungumzia realMamy wa kumzaa au mama anawakilishwa na nin
Chiwawa kazi anayo, 😂😂😂
Chiwawa kazi anayo,
Degunner na elevenn, yaan chiwawa huyu hayuko sawa, na ile ingine anayopenda kuombea pesa humu ndani, akisanukiwa anakuja na gia ya kukopa, kufanya kazi hataki.Mjukuu ndiye nani huyo
Kijana anahitaji counselling ya kitaalamu aisee, ndio yeye huyoKwamba ni multiple ID?