Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,219
- 18,017
Kaingizwa wapi kwa makosa?CCM kila kunapokatika miaka 10 ya kiongozi yeyote, kunakuwa na mchakato wa wenye nia kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais
Kama Samia atakwenda miako 10, wapi mchujo wa ndani ya chama umefanyika?
Kaingizwa hapo kimakosa, na unapokumbuka umefanya makosa kwenye safari yako, basi ni suala la kurekebisha ili safari iendelee
CCM wamekumbuka walipoangukia, wanataka mchakato uanze upya, mbona wateuliwa mnang'aka?