Mama Samia ni mgombea mpya kabisa wa CCM 2025 - 2030

Mean itakua msimu wake wa kwanza 2025-2030 then 2030-2035?
No

Kwa mujibu wake anasema hii ni awamu ya sita yenye vipimdi viwili. Hivyo anataka kipindi cha pili hadi 30 ndo aachie kiti
 
Samia anakatazwa na katiba ya sasa ya Tanzania kugombea urais mwaka 2035.

Soma katiba hata kidogo ujielimishe kuhusu urais Tanzania na ukomo wake.

Inapatikana bure online huhitaji hata kuinunua.
Si mlikubaliana wenyewe ndani ya chama "Rais ahudumu miaka 10" ndio utaratibu wenu ndani ya chama 😂😁🤣 !!! Hapo katika imeingiaje ndugu.

Sasa hivi tupo 2025 - 2030 October kaweke "tiki" kwanza.
 
Marekebisho ; Hapo katiba imeingiaje ndugu.
 
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.

Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
  1. NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
  2. MWINYI - Ruksa.
  3. MKAPA - Ukweli na uwazi.
  4. KIKWETE - Ari mpya, nguvu mpya na Kasi mpya.
  5. MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).
Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.

Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.

HONGERA SANA MAMA !!!

Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara, kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.

Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).

Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.

ACHENI UNAFIKI.

Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.

KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.

Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".

Nitarudi baadaye kidogo.........

Ahsanteni.
swadakta kabisa, achukue form ainhie kwenye mchakato ashinde, Kisha waachie na upinzani wachukue form waingie dimbani huku Tume ikiwa huru kweli kweli ...Hapo akishinda ugomvi utakuwa umeamualiwa Kwa HAKI
 
Hayati JK- Nyerere - 1963-1985
Hayati A.H- Mwinyi - 1985- 1995
Hayati B.W- Mkapa - 1995-2005
Mstafu J.M- Kikwete - 2005-2015
Hayati J.P- Magufuli - 2015- 2021
Mh. S.S- Hassan - 2021-2025

Kwa hesabu za hapo juu, ilikuwa Mh. Wa sasa astaafu kwa heshima, wengine waendeleze gurudumu la awamu ya sita
Kwann astafu ilihali Katiba imempa nafasi Kisheria kuomba Ridhaa ya miaka 5 baada ya Ku-Assume ofisi toka kwa Marehemu?

Mama aachwe agombee, akichaguliwa amalize muda wake Kikatiba kisha apumzike kama walivyofanya wengine,acheni kumkalia kooni Mama wa watu yuko pale kwa mujibu wa KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 
Hizo zote ni bla bla kitu muhimu ni katiba za CCM na nchi.

Na kwa mujibu wa katiba hizo, Samia hakatazwi kugombea urais 2025. Ila akipata urais 2025 katiba ya nchi inamkataza kugombea urais 2035.

Kwa hivyo hakuna haja ya hadithi za bla bla nyingi. Samia anaruhusiwa kugombea urais kikatiba. Amd that is all that matters.

Habari nyingine za utamaduni, desturi, miiko, matambiko, kachezeni ngoma za jadi. Kama ni muhimu sana, ziwekeni kwenye katiba ya chama au hata ya nchi.

Pia mchakato wa kutafuta mgombea wa CCM 2025 umefanywa kwa style ya ambush na bila kufuata mantiki, possibly umevunja katiba..

Hili limeleta maneno mengi sana na kumfanya Samia kuonekana kaogopa upinzani mdani ya CCM katila kumtafuta mgomnea urais.
Naam , na kwenye desturi na miiko yao wanatakiwa wamuache agombee

Tupo nao mpaka mwisho
 
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.

Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
  1. NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
  2. MWINYI - Ruksa.
  3. MKAPA - Ukweli na uwazi.
  4. KIKWETE - Ari mpya, nguvu mpya na Kasi mpya.
  5. MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).
Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.

Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.

HONGERA SANA MAMA !!!

Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara, kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.

Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).

Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.

ACHENI UNAFIKI.

Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.

KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.

Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".

Nitarudi baadaye kidogo.........

Ahsanteni.
Yaani mpaka leo hujaijua Falsafa ya Rais Samia pamoja na kumpigia debe kihivyo?
Anyway, ngoja nikusaidie, Falsafa ya Rais Samia kama Mgombea Urais wa CCM ni "KAZI NA UTU; TUNASONGA MBELE"!
 
Si mlikubaliana wenyewe ndani ya chama "Rais ahudumu miaka 10" ndio utaratibu wenu ndani ya chama 😂😁🤣 !!! Hapo katika imeingiaje ndugu.

Sasa hivi tupo 2025 - 2030 October kaweke "tiki" kwanza.
Kwa hali hii utakuja kisema kwanini magu kahudumu miaka 6 -- tumia akili mkuu
 
Si mlikubaliana wenyewe ndani ya chama "Rais ahudumu miaka 10" ndio utaratibu wenu ndani ya chama 😂😁🤣 !!! Hapo katika imeingiaje ndugu.

Sasa hivi tupo 2025 - 2030 October kaweke "tiki" kwanza.
Mlikubaliana nani? Mimi simo.

Samia haruhusiwi kugombea tena 2030.

Hivyo ndivyo katiba inavyosema.

Unabishana na katiba?
 
Mlikubaliana nani? Mimi simo.

Samia haruhusiwi kugombea tena 2030.

Hivyo ndivyo katiba inavyosema.

Unabishana na katiba?
Katiba ipi ?

Tupe kifungu kwenye katiba ya chama kinachopinga MAMA asigombee tena 2030.
 
Soma tena post namba 37 hapo juu nilishajua kuna wajinga wengi kama wewe nimekiweka kifungu chenyewe kabisa kutoka kwenye katiba.

Hizi posts unazisoma au unajibu tu bila kusoma?
 
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.

Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
  1. NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
  2. MWINYI - Ruksa.
  3. MKAPA - Ukweli na uwazi.
  4. KIKWETE - Ari mpya, nguvu mpya na Kasi mpya.
  5. MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).
Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.

Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.

HONGERA SANA MAMA !!!

Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara, kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.

Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).

Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.

ACHENI UNAFIKI.

Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.

KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.

Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".

Nitarudi baadaye kidogo.........

Ahsanteni.

Sasa mbona zile tuhuma za slowslow hazijibiwi.Naona kama kuna elements za Taarabu hiv.Umeandika kama vile kuna kitu flani unataka kukiwasilisha ila hakuna kitu ulichosema
 
Soma tena post namba 37 hapo juu nilishajua kuna wajinga wengi kama wewe nimekiweka kifungu chenyewe kabisa kutoka kwenye katiba.

Hizi posts unazisoma au unajibu tu bila kusoma?
Hicho kifungu no.37 kipo kwenye katiba ya chama !?
 
Bloody idiot.

Kwani urais tunaouongelea hapa ni urais wa chama?

Kumbe unapiga kelele hapa hata katiba ya Tanzania huijui na hata ukiwekewa vifungu bado hujui alif wala be?

Hiyo ni katiba ya nchi, si ya chama, hivyo inamhusu mtu yeyote si wa CCM tu.

What's next? Utataka kujadili katiba ya chama na ya nchi ipi muhimu zaidi?
 
Huyu tunaye mpka 2035 ndo awamu yake inakwisha kwahiyo ni mikumi sio mitano tena
CCM kila kunapokatika miaka 10 ya kiongozi yeyote, kunakuwa na mchakato wa wenye nia kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais

Kama Samia atakwenda miako 10, wapi mchujo wa ndani ya chama umefanyika?

Kaingizwa hapo kimakosa, na unapokumbuka umefanya makosa kwenye safari yako, basi ni suala la kurekebisha ili safari iendelee

CCM wamekumbuka walipoangukia, wanataka mchakato uanze upya, mbona wateuliwa mnang'aka?
 
Back
Top Bottom