Njoo na BoQ yako afu ilinganishe na hio ya BoTSiamini hilo jengo likipigwa bomu kama kuna kitu kitabaki! Gavana asituokote kwa kuhalalisha yasiyohalalika! 44 bil ni fyueza ndefu sana hiyo kwa jengo moja tu isee!
Hyo bilionu tatu unayosema wewe ni umeme bila AcNimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44. Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi.
===
Nimeambiwa kwamba shilingi bilioni 23.37 ni kwaajili ya ujenzi na shilingi bilioni 18.73 zimetumika kuweka mitambo na mifumo mbalimbali. Niitumie fursa hii kuipokenza Benki kuu kwa jengo hili zuri na la kisasa.
Mheshimiwa pamoja na sifa hizo ujenzi gharama kidogo imesisimua mishipa ya damu lakini hili tutalitazama jinsi tunavyokwenda kwa leo ni sherehe ya uzinduzi wa jengo. Fedha zimetumikaje, zimeendaje tutashikana huko.
Linavutia kwa kweli.Jengo lenyewe ndio hili?View attachment 1817383
Mama mpaka ahisi Kuna upigaji ndio hao TISS watoke kupeleleza dah, Kama taasisi nyeti ilikuwa inapaswa kufuatilia kwa kina tangu mwanzo, sio kubase kwenye siasa tuSidhani ila kama ni upigaj upo mdogo. Ngoja TISS waje na majibu kamili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani Benki Kuu ni stendi ya Buza ama?.Mbezi pale?.
Mjinga sana wewe sasa ulimuweka wewe aunulitaka akuseme wewe au wewe ndo Mke mwenza wake? Alisema na akamshukur jpm sasa wewe kama unawashwa washwa utazimikaUlitegemea aseme kinyume chake?....
Hata kama tusingepigwa, salio ambalo lingebaki usingelijua.Nimeona hapa Governor wa BOT akiwasilisha gharama ya ujenzi wa jengo la BOT Mwanza ambalo limegharimu Bil.44. Hapa tumepigwa kwa mtu wa kawaida hilo jengo limegharimu kati Bil.3 na hadi 5 nyingine tumepigwa wazi wazi.
===
Nimeambiwa kwamba shilingi bilioni 23.37 ni kwaajili ya ujenzi na shilingi bilioni 18.73 zimetumika kuweka mitambo na mifumo mbalimbali. Niitumie fursa hii kuipokenza Benki kuu kwa jengo hili zuri na la kisasa.
Mheshimiwa pamoja na sifa hizo ujenzi gharama kidogo imesisimua mishipa ya damu lakini hili tutalitazama jinsi tunavyokwenda kwa leo ni sherehe ya uzinduzi wa jengo. Fedha zimetumikaje, zimeendaje tutashikana huko.
Baba unafikiri benki kuu ni kama banda last kuku. Humo ndani kuna na vault (vyumba vya kuweka fedha ) sehemu za kuhifadhi dhahabu. Kutokana na hivyo kunahitajika ulinzi mkubwa sana. Hizo garama zake zote unazijua?
Acha kukariri mambo mkuu.
Huo uchunguzi unafikiri utakamilika ndg yangu?Hapo pamepigwa parefu sana.
Gavana awajibike,apishe uchunguzi ufanyike
2015
Kapimwe akili mkuu.
Jengo kubwa na imara, kuna basement ya maana pale chini. Benki kuu haijengwi kama Guest za Buza mkuu
Kasema leo sio siku ya kuongelea hilo suala maana yake kuna uchunguzi wa usalama wa taifa na takukuru utakaochunguza.
Ingawa nimemuelewa Luoga alipoongelea masuala ya vyumba vya underground.