Mama Samia, jengo la BOT Mwanza tumepigwa

true Mkuu hapa uchunguzi ufanyike watu warudishe pesa
 
Ikulu tuu haijengwi kwa mawe au zege tupu ,je hapo pamejengwa kwa zege na mawe tuu?

Benki zote zinajenga na Kazi ni hizo hizo mbona huwa hatuoni hizo gharama za kipuuzi?
 
Kapimwe akili mkuu.
Jengo kubwa na imara, kuna basement ya maana pale chini. Benki kuu haijengwi kama Guest za Buza mkuu
Afadhali umenena hivyo, maana sisi huwa tunadhania jengo la benki linajengwa kwa tofali zile zinazotolewa 40 kwa mfuko mmoja wa sementi.
 
Zipi hizo? Unataka kumfanya nani mtoto? Unaijua bil.45 wewe?

Hapo ni km 45 za mkeka wa asphalt au km 60 za mkeka surface dressing
 
majiz lazma yatetee huo uhuni wa uo mjengo,,kiuharisia pale kuna upuuz umefanyika tena upuuz mkubwa sana, nyie mnaotetea weken statement zenu wazi kuwa hilo jengo lina maajabu gan yakutumia bil40, kijengo chenyew ghorofa5 pumbv kabsa, hata chuo cha mipango dodoma wamewashinda kwa kutumia fedha kidogo kujengajengo lenye ghorfa7 tena kubwa kulko uo uchafu wanaowaaminisha kuwa ni stahimilivu, majiz na yasiyotumia akl lazma yawepo kutetea, uyo mama kazd upole ndiomaana wanamuona hana chakuwafanya, ona hata vile jamaa alkuwa anatolea maelezo, nikama mtu ambaye hayuko sirias na kaz yake kaendekeza utani utan mbele ya rais, rais nae bila kuhoj anaitikia tu mmmh mmh mmmh upumbavu ndio maana yule bwana yule mlimchukia maana alikuwa acherewi kuwaznguwa washenz kama hao, wanaochezea kodi za wananchi kwa kufaidisha matumbo yao na kuandaa nyaraka feki ili kuudanganya umma wa watanzania, ukiwa na akili lazma uhoji kuhusu ilo jambo, na kama rais atalkalia kimya, bas ujue awa majizi watamtesa sana huyu maza maana watajua udhaifu wake wa kuhoji mambo ni mdogo sana, lkn majiz yajue kuwa si kila mtu ni boya hapa nchini, kuna watu watalipgia kelele tuu hili suara
,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…