nzaghamba
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,235
- 1,491
asee Maza aongezewe ulinzi,humu yenyewe kuna haters kibao wanamtolea povu nakazia tena Maza aongezewe ulinziMiezi 3 tu madarakani…..mpaka 2025 na 2030, safari bado ni ndefu sana!..
asee Maza aongezewe ulinzi,humu yenyewe kuna haters kibao wanamtolea povu nakazia tena Maza aongezewe ulinziMiezi 3 tu madarakani…..mpaka 2025 na 2030, safari bado ni ndefu sana!..
Hamna Chopa wala Lile Gari lenye Mtambo wa kuzima Mawasiliano, Signal JammerNaam!
Lakini ilikuwa nongwa Magufuli kulindwa na hao hao jamaa wanaomlinda Samia sasa hivi!
Au wewe hukuwepo pindi Magufuli ananangwa kwa ulinzi aliokuwa nao?
Ukimuongelea Mabeyo,Hao maaskari amewekewa na Mabeyo.
Ukishaambiwa kwenye suala la ulinzi wako uwekewe hao walinzi, hakuna namna angekataa.
Halafu siku hizi haonekani sana kwenye media kama enzi za Magu, possibly na yeye alikuwa anaagizwa tu mpaka anachoka.
Umejuaje hamna? Huwa unakuwepo?Hamna Chopa wala Lile Gari lenye Mtambo wa kuzima Mawasiliano, Signal Jammer
Ndio nakuwepo, hamna Show off za Kishamba za MwendazakeUmejuaje hamna? Huwa unakuwepo?
FOHNdio nakuwepo, hamna Show off za Kishamba za Mwendazake
Kwani kwenye ulinzi wa Samia hivyo vitu havipo/ havitokuwepo tena?Ukiachana na hao maafande wenye silaha, alikuwa na CONVOY PROTECTION JAMMER na sometimes Helcopter juu.
View attachment 1821959
Sod Off
Yawezekana kaamua kuondoka kwenye media spotlight.Ukimuongelea Mabeyo,
Hivi yuko wapi??
Bunge lipo live
Waangalie Mashehe wa uhamsho duh!
Anatumbua kwa haki bila kuonea mtu
Waliofanya uhuni wanashughulikiwa sio kwa kukomolewa Bali ni kwa mjibu wa sheria zilizopo.
Anafuata sheria katika kufanya maamuzi
Achanganyi siasa na utendaji
Sijaona kikao cha ccm kikifanyika Ikulu
Bodaboda na bajaji walinyanyaswa sana na police leo kawabeba kwenye faini kutoka elfu 30 mpaka elfu 10
Morogoro kwenye soko la manispaa kamwagiza mkuu wa mkoa wapunguze kodi kutoka laki 1 mpaka elf 30 ili machinga wapewe vibanda kwa bei rahisi.
Hii pia itafanyika nchi nzima vibanda na maduka yanayomilikiwa na halimashauri yapunguze kodi ili hata watu wa kawaida waweze kumiliki biashara ndani ya masoko.
Leo nimekuwa kariakoo, Kariakoo imerudi kwenye ubora wake
Leo nimekuwa bandarini, Bandarini meli za kutosha kwa sasa
Biashara imeanza kurudi na kuchanganya
Mama apewe sapoti ya kutosha ana kitu cha ziada anaweza kutupa hata katiba.
Yeye ndo mwenyekiti wa CCM!Mama yuko kimya kuhusu Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, yuko kimya kuhusu COVID-19 mjengoni, yuko kimya kuhusu uchunguzi wa CAG pale BoT, yuko kimya kuhusu uchunguzi wa kupotea Saanane na Azory, shambulizi la Lissu na Lissu kulipwa haki yake ya pesa za matibabu. It’s too early to TRUST her. technically
Kwasasa baadhi ya vitu havipo, labda kama wataamua kuja kuviweka baadaye. Ni maamuzi yao.Kwani kwenye ulinzi wa Samia hivyo vitu havipo/ havitokuwepo tena?
Nini Rais wa Ufaransa…Ulinzi wa Rais tena mnaingiza siasa
Ulimuona rais wa ufaransa?
Ana miezi 3 tu madarakani!Kwasasa baadhi ya vitu havipo, labda kama wataamua kuja kuviweka baadaye. Ni maamuzi yao.
Kwa experience iliyopo sidhani marais wetu wa awamu ya kwanza mpaka ya nne walikuwa hivyo.
Lisu alizusha kuwa huyu jamaa wa kushoto kafa!Na wakamzushia kuwa analindwa na wanyarwanda, ha ha ha. Hawa wanaufipa bure kabisa.
Yeye ndo mwenyekiti wa CCM!
Unless labda kuna watu wako naive sana.
Otherwise sitegemei chochote kilicho tofauti sana na watangulizi wake.
Sio kama mwendazake,alikuwa anafunga njia km2² hakuna kutembeaMiezi 3 tu madarakani…..mpaka 2025 na 2030, safari bado ni ndefu sana!
Kuna waliodai Samia halindwi na askari wenye mabunduki makubwa waliovaa magwanda ya kijeshi, siku chache tu baada ya kuapishwa!
Hii picha hapa chini ni ya wiki chache zilizopita…
View attachment 1821928
Rais gani mwingine analindwa hivi?Nyani Rais kulindwa namna hiyo ni jambo la kawaida sana, Out of 60mil people, yeye pekee ndiye anawaongoza, maniac yeyote anaweza kutokea katika hao mil 60 na akafanya lolote na ikalisababishia taifa siyo tu hasara bali na aibu pia. Nafikiri tumpime kwa uongozi wake zaidi kuliko ni wangapi wanamlinda, nipo tayari kurekebishwa Bro
Yeye ndo mwenyekiti wa CCM!
Unless labda kuna watu wako naive sana.
Otherwise sitegemei chochote kilicho tofauti sana na watangulizi wake.
I’ve advocated for boycotting elections under the current conditions since 2005.Naam anaweza kufuata nyayo lakini akiamua hivyo anazidi kuiweka nchi mahali pabaya kuelekea uchaguzi wa 2025 kwani participation inaweza kuwa ndogo sana na pia nchi za wafadhili kufuatia uchaguzi huo kuweka mgomo kwamba bila chaguzi huru na wa haki hatutoi misaada wala mikopo kugharamia gharama za miradi ya maendeleo mbali mbali.