Mama Samia ameanza kunishawishi

Mama Samia ameanza kunishawishi

Chadema mbona wameshasema hadharani kwamba bila Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi 2025 hawatashiriki uchaguzi ambao si huru na wa haki!?
Nitashangaa sana Chadema na vyama vingine ikiwa vitaweka wagombea tena 2025, Itakuwa ni unafiki mkubwa sana kwa vyama hivyo

Ikiwa Raisi tuliyenaye leo ndio haswaa anapendwa na si tu viongozi wa Chadema bali na wanachama wote wa chama hiki cha wanafiki duniani

Raisi wetu songa mbele!!
 
Mama yuko kimya kuhusu Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, yuko kimya kuhusu COVID-19 mjengoni, yuko kimya kuhusu uchunguzi wa CAG pale BoT, yuko kimya kuhusu uchunguzi wa kupotea Saanane na Azory, shambulizi la Lissu na Lissu kulipwa haki yake ya pesa za matibabu. It’s too early to TRUST her. technically
 
Miezi 3 tu madarakani…..mpaka 2025 na 2030, safari bado ni ndefu sana!

Kuna waliodai Samia halindwi na askari wenye mabunduki makubwa waliovaa magwanda ya kijeshi, siku chache tu baada ya kuapishwa!

Hii picha hapa chini ni ya wiki chache zilizopita…

View attachment 1821928
Ulinzi wa Rais tena mnaingiza siasa

Ulimuona rais wa ufaransa?
 
images (31).jpeg
 
Acha utani mtoa mada, tufurahie nini wakati chama letu kubwa linaozea kisongo !!
 
Nitashangaa sana Chadema na vyama vingine ikiwa vitaweka wagombea tena 2025, Itakuwa ni unafiki mkubwa sana kwa vyama hivyo

Ikiwa Raisi tuliyenaye leo ndio haswaa anapendwa na si tu viongozi wa Chadema bali na wanachama wote wa chama hiki cha wanafiki duniani

Raisi wetu songa mbele!!
Unawajua lakini hao mbayuwayu?
 
Mama anaupiga mwingi ,ameanza vizuri sana! Mikumi TENA kwa SSH.......Push Gang watapata tabu sana.

Nimegundua kuwa viongozi wanaotoka kwenye dini ambazo waumini wanajumika kusali kila siku wana hekima sana na ni waungwana kuliko sisi tunaosubiri Jumamosi na Jumapili. Mwenyezi Mungu azidi kumpa hekima na busara mama yetu.

Halafu CCM wasirudie tena kosa la kuwapa uongozi wa juu Illegal Immigrants!
 
Bunge lipo live
Waangalie Mashehe wa uhamsho duh!
Anatumbua kwa haki bila kuonea mtu
Waliofanya uhuni wanashughulikiwa sio kwa kukomolewa Bali ni kwa mjibu wa sheria zilizopo.


Anafuata sheria katika kufanya maamuzi
Achanganyi siasa na utendaji
Sijaona kikao cha ccm kikifanyika Ikulu

Bodaboda na bajaji walinyanyaswa sana na police leo kawabeba kwenye faini kutoka elfu 30 mpaka elfu 10
Morogoro kwenye soko la manispaa kamwagiza mkuu wa mkoa wapunguze kodi kutoka laki 1 mpaka elf 30 ili machinga wapewe vibanda kwa bei rahisi.

Hii pia itafanyika nchi nzima vibanda na maduka yanayomilikiwa na halimashauri yapunguze kodi ili hata watu wa kawaida waweze kumiliki biashara ndani ya masoko.

Leo nimekuwa kariakoo, Kariakoo imerudi kwenye ubora wake
Leo nimekuwa bandarini, Bandarini meli za kutosha kwa sasa
Biashara imeanza kurudi na kuchanganya

Mama apewe sapoti ya kutosha ana kitu cha ziada anaweza kutupa hata katiba.
Mbona umechelewa sana mkuu.
 
Hilo la kupunguza vibanda kuwa 30 elfu ni sawa Ila wasipoangalia watakaojaa ni wafanyabiashara wakubwa, kama kweli wanania ya kuondoa machinga kufanya biashara hovyo basi wawatumie viongozi wa wamachinga, waondoe ada ya 20000 kwenye kitambulisho yaani visiwepo kabisa Kama mwanzo.

Na maeneo ya stendi na sokoni yamilikiwe na serikali ndo wajenge masoko ya vyumba vidogo Kama sido Mbeya alafu machinga waingie huko na wazuiwe kupanga nje na vyumba vikiwa vidogo vidogo vitazuia wafanyabiashara wakubwa kwenda kufanyia humo biashara zao maana ni vyumba vidogo vidogo na wapelekwe kwenye mfumo wa kulipa kodi kwa gharama nafuu.
 
Back
Top Bottom