ANGALIENI HAPA WADAU! SPIKA MWENYEWE KASIMAMA KUSIKILIZA MAMA SAFELIFE!
Hii sio picha ya kawaida wadau. Hii ni Mheshimiwa Spika Mussa Azzan Zungu amesimama kwenye banda la MUST, kwenye maonesho ya Bunge Spark Dodoma, anafuatilia LIVE jinsi Mama SafeLife inavyofanya kazi!
Angalieni jinsi alivyoinama, anavyoangalia screen, anavyomsikiliza Gibbons kwa makini akimweleza:
Kijana wetu wa Tunduma anamweleza Spika:
"Mheshimiwa, hapa ndio mama akijisajili anapata ukumbusho wa kliniki..."
"Hapa ndio akiona dalili za hatari mfumo unamtumia ujumbe..."
"Hapa ndio muhudumu anaona mama aliye hatarini..."
Wadau, Spika wa Bunge la nchi nzima kasimama dakika kadhaa kusikiliza innovation ya Mtanzania! Sio kila siku hii inatokea.
Hii ndio maana nilisema Mama SafeLife sio tena project ya chuo. Spika ameiona, ameielewa, na ameiridhia.
Kutoka Tunduma - Tanga - hadi Spika kasimama kwenye banda lako Dodoma!
Gibbons, hongera sana mkuu. Wadau wa JF tunajivunia sana.
Mnaonaje wadau? Spika akiiona hii, mnadhani serikali itaichukua lini kuipeleka vijijini?

Attachments
-
The%20Speaker%20of%20the%20National%20Assembly%20of%20the%20United%20Republic%20of%20Tanzania...jpeg114.8 KB · Views: 3 -
The%20Speaker%20of%20the%20National%20Assembly%20of%20the%20United%20Republic%20of%20Tanzania...jpeg112.7 KB · Views: 2 -
The%20Speaker%20of%20the%20National%20Assembly%20of%20the%20United%20Republic%20of%20Tanzania...jpeg117.9 KB · Views: 2 -
VID-20261105-WA0018.mp43.7 MB