WADAU MNAOIJUA MAMA SAFELIFE, SASA IMESHAFIKA BUNGENI! HII NDIO HATUA KUBWA!
Wadau, kama mnakumbuka, tulishawahi kuizungumzia hapa Mama SafeLife - ile project ya kijana wetu Gibons kutoka MUST.
Leo nakuleteeni update ambayo kila mmoja wetu anapaswa kujivunia.
Ijumaa, Mama SafeLife IMETAMBULIWA RASMI BUNGENI DODOMA na Mheshimiwa Spika Mussa Azzan Zungu mwenyewe!
Sasa kwa wale wapya au waliopitwa, Mama SafeLife ni nini hasa na itasaidiaje kuokoa maisha?
1. TATIZO: Vijijini kwetu, akina mama wengi wajawazito wanapoteza maisha au watoto wao kwa sababu tu ya kukosa taarifa kwa wakati - hawajui dalili za hatari, hawajui lini wakimbie hospitali, na wahudumu hawana taarifa za mama mapema