salmar
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 799
- 363
Huyu mama ninayajua yake mengi tuu afunike kombe asitake kutufanya tukala ban za kuamkia alivoutaka huo ubunge kwa maslahi ya biashara zake tulipandishiwa ada shulen mwake wakati sikufadika na elimu niliopewa pale zaidi ya matanuzi bass nashkuru mungu tuition zangu za mwenge ndio ilionipa mkopo udsm na mukitaka historia ya kuwanza kuitwa mchungaji nitakupeni