Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Inawezekana mama Getrude Rwakatare alikosea kutoa hoja JF ifungwe. Kukosea ni sehemu ya ubinadamu na kila mmoja huwa kuna mahali anakosea.

Mama Getrude kamaliza safari yake.

Faraja ya Mungu na iwe juu ya familia yake, kanisani kwake, shule za St. Marys, Bunge la JMT na Watanzania wote kwa kuondokewa na mama, kiongozi na mwanajamii mwenzetu.
 
Nilionaga Tangazo lake Hadi UKIMWI anaponya...
Lwakatale ni tapeli, mwizi wa roho za watu wenye shida. Anawadanganya kuwa shida zao zitaisha. Ikitokea kuwa na forum za kumwambia ukweli anakuwa mbogo. Anawadanganya watu wasio na matumaini, kama waliokosa watoto/uzazi, mahanisi (wanaume, magonjwa yasiyotibika eti kwa kuwaombea watapona.

Uongo hakuna atakayezaa na umri wa miaka 60 mwanamke!!! anampa hope eti ana nguvu za kumwombea akazaa. Ukiwafumbua macho kwa uongo kama huo ndani ya JF tukufu, anapeleka bungeni ufungwe!1 Shame!!
 
Hee.... kumbe marehemu alikuwa adui # 1 wa JF?

Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake libarikiwe!
 
Inawezekana mama Getrude Rwakatare alikosea kutoa hoja JF ifungwe. Kukosea ni sehemu ya ubinadamu na kila mmoja huwa kuna mahali anakosea.

Mama Getrude kamaliza safari yake.

Faraja ya Mungu na iwe juu ya familia yake, kanisani kwake, shule za St. Marys, Bunge la JMT na Watanzania wote kwa kuondokewa na mama, kiongozi na mwanajamii mwenzetu.
Baada ya kifo huwa mnakuwa wapole Ila mkiwa mnapumua Kama mabata huwa mnatokwa na matakataka midomoni...

Acha afe tutajuana huko mbinguni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliokuwepo zamani kidogo tukamwona Nyerere anastaafu na Mzee Mwinyi anastaafu, msingi wa Utanzania ni udugu.
Mama alitaka JF ifungwe, bahati nzuri haikufungwa.

Utu wake au wa Mtanzania yeyote unabaki na kuheshimiwa. Alipokuwa hai, heshima yake kama mtu tulimuenzi na hata sasa akiwa ameaga dunia, tunaenzi bahati ya kuwa nae maishani kama mwanadamu mwenzetu.

Wenye akili tutasheherekea tunu na wema alioishi kama mwanadamu. Madhaifu yake yanatupa kujifunza tusifanye makosa kama yake ambayo aliyatenda.
 
Alitaka tushonwe midomo!
Alikua mnafiki na mwenye husda! Aende tu.
Aisome magufuli, ajue jinsi akidanja itakua shangwe
 
Tuliokuwepo zamani kidogo tukamwona Nyerere anastaafu na Mzee Mwinyi anastaafu, msingi wa Utanzania ni udugu.
Mama alitaka JF ifungwe, bahati nzuri haikufungwa.

Utu wake au wa Mtanzania yeyote unabaki na kuheshimiwa. Alipokuwa hai, heshima yake kama mtu tulimuenzi na hata sasa akiwa ameaga dunia, tunaenzi bahati ya kuwa nae maishani kama mwanadamu mwenzetu.

Wenye akili tutasheherekea tunu na wema alioishi kama mwanadamu. Madhaifu yake yanatupa kujifunza tusifanye makosa kama yake ambayo aliyatenda.
Raia katili akifa ni sherehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom