kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
wa kitambo sana kumbeJf ni mwiba kwa wabaka haki kama mama rwakatare!vive JF
Heri yao wazishikao Amri za BWANA na imani ya Yesu Kristo!Ufunuo 14: 13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nimeamini.Jf ni mwiba kwa wabaka haki kama mama rwakatare!vive JF
Makaburi yanafukuliwaWana JF kutokana na mtandao huu wa kijamii kuibua na kueneza siri za Serikali Wabunge wa CCM wameridhia Mtandao huo ufungwe kama ilivyokuwa Ze Utamu na Mtoa Hoja ni Mchungaji Getrude Lwakatale, Leo pia kapeleka swali lake Bungeni.
Waziri kaitetea JF na kuwashauri wabunge kuwa ni chombo cha habari cha kijamii.
UPDATE:
Kumbe kwa sasa ushakuwa bibiUnashangaa nini ?Tatizo nyie mmekariri mimi ni CCM. Mimi nina mawazo huru. Na hii ilikuwa 2012.
Shikamoo mkongweJf ni mwiba kwa wabaka haki kama mama rwakatare!vive JF
Unanijua wewe ?Bibi ?Nimekuzalia mama yako au baba yako ?Tatizo mmeijua JF baada ya smart phone kuja. Mimi nilijiandikisha JF kwa kutumia Computer. Sema asante kwa mchina .Kumbe kwa sasa ushakuwa bibi
Acha kukaa kihasara hasara
Marahaba haujambo ?Shikamoo mkongwe
Acha kukaa kihasara hasara
Umeamini nini ?Kweli nimeamini.
Nimekula Chumvi nyingi hapa JF.wa kitambo sana kumbe
Sijambo. Wew na faiza Foxxy ni wakongwe hapa. Heshima kwenuMarahaba haujambo ?
So una miaka kumi na ngapi sasa ?Unanijua wewe ?Bibi ?Nimekuzalia mama yako au baba yako ?Tatizo mmeijua JF baada ya smart phone kuja. Mimi nilijiandikisha JF kwa kutumia Computer. Sema asante kwa mchina .
Ulichokisema kumhusu Mama Lwakatare miaka hiyo ya 2012Umeamini nini ?
Na magonjwa suguNiliinaga Tangazo lake Hadi UKIMWI anaponya...
Lwakatale ni tapeli, mwizi wa roho za watu wenye shida. Anawadanganya kuwa shida zao zitaisha. Ikitokea kuwa na forum za kumwambia ukweli anakuwa mbogo. Anawadanganya watu wasio na matumaini, kama waliokosa watoto/uzazi, mahanisi (wanaume, magonjwa yasiyotibika eti kwa kuwaombea watapona.
Uongo hakuna atakayezaa na umri wa miaka 60 mwanamke!!! anampa hope eti ana nguvu za kumwombea akazaa. Ukiwafumbua macho kwa uongo kama huo ndani ya JF tukufu, anapeleka bungeni ufungwe!1 Shame!!