unbwogable80
Member
- Jun 27, 2012
- 57
- 10
riLwakatale ni tapeli, mwizi wa roho za watu wenye shida. Anawadanganya kuwa shida zao zitaisha. Ikitokea kuwa na forum za kumwambia ukweli anakuwa mbogo. Anawadanganya watu wasio na matumaini, kama waliokosa watoto/uzazi, mahanisi (wanaume, magonjwa yasiyotibika eti kwa kuwaombea watapona.
Uongo hakuna atakayezaa na umri wa miaka 60 mwanamke!!! anampa hope eti ana nguvu za kumwombea akazaa. Ukiwafumbua macho kwa uongo kama huo ndani ya JF tukufu, anapeleka bungeni ufungwe!1 Shame!!
mama kafilisika kweli,badala ya kuhubiri watu waaache njia zao mbaya na kuenenda katika njia impendezao mungu anakaa kudanganya watu kuhubiri biashara ya kuwajaza watu mapesa ambayo hawawezi kuwa nayo..hubiri watu waijue kweli na kweli iwaweke huru,Nani asiyejua kama wewe ni type of business churches kama tunazoziona nigeria na kwingineko na zilifungamana na freemasonry doctrines?umakalia kujikoboa uso na mikorogo na micheni tu..hivyo ndivyo vitabu vitakatifu vinataka uenende?
kama wewe kweli unaombea watui na ukawasaidia basi umwombee mwanao wa kumzaa HUMPHREY LWAKATARE ambaye ni mlevi mbwaaa kila siku ya mungu analewa kiasi kwamba hata ukimwekea tofali moja alipande upande wa pili hawezi.
Miguu imekwisha nguvu kwa pombe.yani mkama hajanywa unaweza kumuhurumia...sasa anza na mwanao manake charity start at home...au ndiyo msukule wako unaokuletea mali zako?
wanajamii hiii ni true stori kama hanmuamini nendeni shekilango magorofani muulizieni muone.