Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

Mchungaji Rwakatare anatakiwa alipe Madeni yake Tanesco,maana ni mmoja wa watu wanaohujumu Tanesco kupitia shule zake za St.Mary's
 
logo_m.jpg
the home of great thinkers
hawa sio greatthinkers thas why,mama rwakatare asitake kufa kabla ya umri wake huyu mama na hayo ni matatizo yakumuacha mungu nakuthamini pesa mungu ameshamwacha huyu mama siasa na kazi ya Mungu haviingiliani kabisa alikuwa anapinga dhambi sijui ufisadi CCM wakampa cheo kumfunga domo na yeye akalifunga kwelikweli sasa anataka kupita kusiko.
 
huyo mama anataka kuficha uovu wake kuanikwa jamvini.atasemaje haijasajiliwa kwa maneno tu ya kuongea?aonane na wahusika wamwambie au aende kwnye mamlaka ya mawasiliano.
 
Mkuu karibu hapa JF, mimi naitwa only83..JF ni zaidi ya uijuavyo..hata mkuu wa kaya ni member hapa na uwa anafaidika na mawazo ya wanaJF.. wazo la kuwa JF ni ya CDM nadhani ni ule muendelezo wenu wa kutumia kufikiria kwa kutumia ********

Kama vijana na wanachama wa magamba hawajui umuhimu wa kutumia mitandao kama sehemu ya kujijenga msisingizie JF kuwa ni ya CDM..Hakuna uhusiano wa JF na CDM isipokuwa member wengi wa JF wanaweza kuwa ni wanachama wa CDM, japo sina uhakika sana na hili.
mkuu hapo kwenye ******** (red) mie namalizia kabisa.. MASABURI
 
Ni TP, kama angekuwa mkweli si angejiombea apate mume baada ya kulamba talaka ya Rwakatale.
 
...viti maalumu,Chama Cha Mapinduzi.Yeye amepewa uhuru wa kuongea kupitia mahubiri yake lakini wenzio wanaotumia fursa ya mitandao anawaonea wivu.Kama vipi arudi kulima ndizi Bukoba
Yule kwao hapo Morogoro, wala co BK
 
ameona Jf tu peke yake? mbona haulizi ST. Merry ni za nani? mgojwa mwendawazimu sana huyu mama sasa matusi aliyekuwa anayataka atayapata humu ndani yeye si bigwa wa kuingia na kutoka kama Guest mtu mzima ovyooooooooo!! hana cha dini wala nini mchawi tu huyu.
 
Lwakatale ni tapeli, mwizi wa roho za watu wenye shida. Anawadanganya kuwa shida zao zitaisha. Ikitokea kuwa na forum za kumwambia ukweli anakuwa mbogo. Anawadanganya watu wasio na matumaini, kama waliokosa watoto/uzazi, mahanisi (wanaume, magonjwa yasiyotibika eti kwa kuwaombea watapona.

Uongo hakuna atakayezaa na umri wa miaka 60 mwanamke!!! anampa hope eti ana nguvu za kumwombea akazaa. Ukiwafumbua macho kwa uongo kama huo ndani ya JF tukufu, anapeleka bungeni ufungwe!1 Shame!!

ogapa sana watu wanojivika nguvu za upako wao wenyewe na kisha kujifanya wanawapa wengine upako huo ili kuwaondoa katika dhiki kuu na kuwapa ukuu hapa duniani na mbinguni. watu hao hawaachi kuwanyanganya hao wadogo hata punje ndogo walizopata kwa shida na jasho na kujaza vilima vya hazina hapa duniani. hao wadogo huwaangalia wanaupako hao kama wako angani wakikaribia mbigu huku matumaini yao yakiwa yametoweka kabisa. sio wote wasemao rabi vurabi... JAMII FORUMS NI SEHEMU KUMALIZA UOVU NA KULETA MAPINDUZI PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE
 
jambazi lisilo na huuma, limekosa mbwana wa kumtoa************* na ndio mana linabaki kuropoka hovyo.
 
Hahahahaaaa...
Wataisoma watakae wasitake huku wamenuna!
 
huyu bibi inaonekana kafurahi sana kitendo cha sisi kumpotezamwakilishi wetu wa Jimbo la Kilombero mana anamahajabu ya kufa mtu.
 
we bibi lwakatale ole wko 2012 uje ugombee ubunge kilombero mana ninatetesi unampango huo huku tutakumaliza mana wananchi wa huku taarifa zako zote tunazo tena ukome hatuhitaji ushirikina wako huko.
 
Tusipoteze focus kwa kumjadili mmama huyu, hana jipya na yeye mwenyewe hana maadili hata kidogo. Lazima ajipendekeze ili aangaliwe tena mwaka 2015, hana lolote
 
Huu mjengo wake ni wa thamani gani? source ya hiyo hela iliyotumika kwa ujenzi? kipato chake kwa mwezi ni kiasi gani? analipa kodi kiasi gani? na wasiwasi hii hela ya huu mjengo mpya ni sadaka za wanakondoo!
 
Back
Top Bottom