Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,519
- 7,287
Washindwe na walegee!!!!
Serikali ilishashindwa kwa hili na jana tu waziri muhusika alisema kwamba JF is next level that got registration outside the country...it's beyond their neck!!
Washindwe na walegee!!!!
Nashindwa kuelewa kinacho mkwaza huyu Mbunge nini kwani
JF inataratibu zake na zinafuatwa mfano Member anaye toa lugha ya Uchochezi, Matusi, Ukabila, Udini anapigwa ban sasa tatizo ni nini ingelikuwa adhabu hazitolewi hapo ingelionekana JF inashabikia haya mambo
Huyu mama tatizo lake ni nini hasa ELIMU, DINI, SIASA za mlengo aliko UWEZO wa kuelewa mambo au nini hasa ?????????/
Mamvi ni EL na bikiroboto ni boss wa wapiga meza Dodomamamvi bi kiroboto ndo kina nani sijakusoma fresh.
Kuhusu huyo mama na uchungaji wake ulivyo soma Ezekiel 34, utapata jibu
kwa kadri siku sinavyoenda kama jamii haitasimama basi tutaamka siku moja na kukuta JF imefungwa kwani serikali inaweza kuanza kuwasiliana na makampuni makubwa yenye teknolojia kubwa duniani hili kuhujumu mtandao unaoleta mabadiliko na kufumbua watu macho wa jamii forum.
Nini kifanyike dhidi ya hujuma za JF?
Si members tu ambao ni tatizo, hii ni ile wanayoita katika lugha ya kikoloni "wake up call".I saw it coming!JF inataratibu zake na zinafuatwa mfano Member anaye toa lugha ya Uchochezi, Matusi, Ukabila, Udini anapigwa ban sasa tatizo ni nini ingelikuwa adhabu hazitolewi hapo ingelionekana JF inashabikia haya mambo
Huyu mama tatizo lake ni nini hasa ELIMU, DINI, SIASA za mlengo aliko UWEZO wa kuelewa mambo au nini hasa ?????????/
nadhani umefika wakati wa huyu mama mdhaifu g. Lwakatare kuiomba msamaha jf, nasi tutamsamehe. La sivyo tutamchachafya mpaka kile kiti cha kupewa kiwe cha moto!kweli kabisa, wanafanya biashara, wanafunguwa mashule kwa majina ya watakatifu na kuyahusisha na makanisa, yote kukwepa kodi tu. Hizi sheria zifanyiwe mabadiliko. Vyombo vyote vya dini vijiendeshe bila kutegemea misamaha ya kodi wala ruzuku za serikalini. Wajanja wachache wanatumia dini kuwanyonya wengine. Huo ndio ukweli.
Mwongozo gani mkuu? Wao wamejitoa sana kizalendo.wao hawatungi sheria sasa ni wajibu wa sisi tunaofaidika ku play our part! How? Just be smart as JF member kwa jinsi tunavyoutumia mtandao huu ili kupunguza areas for concentration waweze kupata tym ya kubuni mambo mapya zaidi.Mkuu Max/invisible tupe muongozo kuhusu hili tishio..