Mama ni mgonjwa


SALA YA YUDA -MPENDWA NIOMBEE Na MIMI PIA
 
Pole sana kwa kuuguza ,inshaallah Allah atamjaalia atapona
 
Pole sana Mungu atamsaidia atapona inshaallah
 
Poleni sana Mungu ni mwema atamponya. Kama mkuu mmoja alivyosema hapo juu kwamba yaweza kuwa kisukari, kawaida wagonjwa wa kisukari vidonda huwa vinawasumbua sana, huchelewa kupona na mara nyingi huongezeka ukubwa. Apime kisukari
 
Huenda hicho kitu kilichomchoma kilikuwa na sumu au mate ya nyoka mwenye sumu. Ila maombi kwa sasa ndo jambo muhimu. Babu yangu aliwahi kuchomwa na kibanzi na kupata hilo tatizo ila alipona na hospital walikuja kugundua ni aina ya sumu inayopatikana kwa nyoka.
 
pole miss strong unapokuwa mbele ya mgonjwa usionyeshe kuchanganyikiwa na kukata tamaa
ni vizuri kumpa moyo na faraja kuwa atapona
 
Last edited by a moderator:
Pole sana miss strong Mungu awe nae ktk kipindi hiki kigumu, na Mungu hamtupi kiumbe wake ninaimani hali ya mama atapona na kurudia hali yake ya zamani.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana miss strong,,tunamuombea mama yetu,Pamoja na kwenda kwenye maombi lakini hakikisha unampeleka hospital kupima diabetes.Kuwa na moyo jasiri kama lilivyo jina lako #Strong .Husikatishwe tamaa na wala husiwe na mawazo mengine tofauti kwa kuwa ugonjwa haujaonekana!Woga na wasiwasi ni vikwazo vya kufanikiwa.Mpe moyo mama yetu,kwamba anaenda kupona na Mungu anaweza yote!
 
Last edited by a moderator:
Pliz niambie ni wapi....wakuu.Siwezi kulala jinsi navyoumia!!!Yaan leo karudi toka kwa dada yake yaan mama mkubwa ndo nimezidi kuumizwa nilivyouona mguu.

Poleni sana, kamcheki zaidi labda ana tatizo la sukari..
 
Pole sana kwa kuuguza mama yetu miss strong MUNGU ni mponyaji wa kila gonjwa.amini atapona
 
Last edited by a moderator:

sorry kama nitakukwaza .
nimesoma habari ya ugonjwa WA mama yako nimemkumbuka hayati MAMA ALFONSO mwenyezi mungu amuweke mahari pema peponi.

huyo mama nae alijikwaruza kwenye mguu kukawa nakijidonda kidogo sana kuasi kwamba hata hospital unaona kabisa haifai kwenda .ilachaajabu siku zinavyozidi kwenda hali ina change na kuwatete .baadae ukawa mguu mzima akalazwa lugalo alichelewa ulikuwa umefika kwenye hali mbaya mbali na mguu alikuwa na kisukari.
lugalo wakamwambia wamkate mguu chini kabisa makanyagio yy akakataa basi akapewa dawa akarudi nyumbani kila siku hali INa change mguu wote ukaharibika kabisa mpaka ukafikia kwenye paja kiukweli alikuwa anatisha sana .
mpaka alifariki kimasihara masihara.

plz plz plz plz plz Dada yangu msichukulie powa hilo tatizo tafuteni wataalam ikuwezekana mpimeni kisukari mkifanya mzaa mnampoteza mama yenu.
 

hapo ugonjwa ni kisukari tuu basi??
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mrembo,naelewa maumivu ulokua nayo kwani hakuna kama mama,inshallah mungu atasaidia atapona........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…