Mama ni mama tuu

Mama ni mama tuu

Faiza hayo unayoamini yamesemwa na Gwajima kama ni kweli hiyo inaitwa revenge tu kwani imani nyingine pia wamekuwa wakiyasema hata sasa (ukitaka ushahidi upo ingawa kwa nia ya kujenga hauna maana kuuleta hapa)!! Kama umesimama kwenye imani yako ni vipi imani nyingine ikutetereshe? Ndiyo maana nilishauri turudi tulipotoka (miaka ya nyuma) ambapo Mkristo hakuona taabu kupeleka kuku kwa Muislam amchinjie kwa kuamini watakaokula watakuwa wa imani zote na kuchinja hakumshughulishi kitu Mkristo. Muislam alisherehekea Pasaka au Krismas kama ambavyo Mkristo alivyosherehekea Eid na Maulid. Kitimoto kilitengewa sehemu maalum ili kisimkwaze Muislam, n.k. Kwenye taifa lisilo la kidini haya ni mambo ya kawaida na ndivyo wazee wetu walivyotuwekea misingi iliyotuunganisha hadi hii leo.

Watanzania huwa tunataniwa kuwa hatupendi kusoma na kuchanganua mambo, hilo jibu ulilonipa kwa kiasi fulani lina akisi huo utani.

Nina imani yangu lakini hapa nimechangia kama mzalendo. Yeyote anayekwazika kwa uchangiaji usioegemea upande wowote ndani ya nchi kama Tanzania, kuna nchi zimejipambanua kwa imani za kikristo, kiislam n.k. na waende huko.


Bado unauliza kama ni kweli?

"Revenge" si afanye basi, wenzake wanafanya kwa vitendo si kwa maneno, jionee:

former Archbishop converts to Islam
 
Gwajima anaetaka kuifanya misikiti Sunday school siyo mdini? Lowassa anaetaka kuchaguliwa kwa kuwa ni mlutheri siyo mdini? Mdini ni FAZAFozy anaeyaonesha hayo? Unanshangaza!

Mwaka huu lazima uchague kaphiri tuu hakuna namna nyingine..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom