Kwa nini labda jina hilo limetokea kuwa maarufu??
Ngoja watu8 aje,atakupa jbu.
Kuna nini tena nyuma ya pazia maana sielewi kitu apa
Humjui Mama Ngina wewe??
Shauri yako ....!!!!!!!
Nimjulie wapi ndugu yangu?,mi nasikiaga tu hilo jina,sio humu tu sehu nyingi tu,nikajisemea sio ishu ngoja niwaulize member wenzangu,watu ndo wametiririka kama ifuatavyo,hakuna behind the scene ndugu
au kuna member humu anatumia hilo jina??
ngumi zikianza humu sitaki kuitwa ushahidi nasema tena mi simo !!!