Mama Ndalichako kakague "Private Schools"

Mhh hahahahah naona kuna watu wameguswa kwenye ugali wao.. Ndalichako lazima apite huko muda sio mrefu mjiandae walimu feki.
 
Acha jaziba ww jamaa kaongea ukweli
 
Mkuu ninachoongea nakijua na nimekiona.
Uko sahihi sana kuna shule moja inaitwa Aaron Harris secondary school ni ya private iko Pugu kichangani wilaya ya Ilala mwenye shule kawajaza ndugu zake ambao sio walimu. Mmoja kampa cheo cha makamu Mkuu WA shule wakati taaluma yake ni afisa wanyama pori. Kama kweli huu msako utafanyika yatagundulika madudu mengi kushinda walioona kwenye vyuo binafsi. Kuna vishule ambavyo vinaendeshwa kama vijiwe vya kupiga hela tu. Msako ufanyike tuokoe kizazi cha kesho
.
 
Uko sahihi sana kuna shale moja private uko Pugu kichangani mwenye shule kawajaza ndugu zake ambao so walimu. Mmoja kampa cheo cha makamu Mkuu WA shule wakati taaluma yake ni afisa wanyama pori.Msako ufanyike tuokoe kizazi cha kesho
.
Hili ni janga ambalo linakula elimu kimya kimya
 
Sisi tunachosema hapa hao wanaojiita walimu huko private hawana hiyo taaluma hiyo ya ualimu. Wengi wao ni form six waliopata daraja sifuri na wengine wana taaluma nyingine tofauti na ualimu
 
Mkuu usipinge kila kitu, kuna baadhi ya shule wanachukua form 4&6 liva ili kuwalipa kiasi kidogo cha mshahara, maana wale professionals wanahitaji pesa ambazo wao wanaona ile profit yao inapungua maana private are there for profit. Halafu ukisema sijui wazazi wanajua hili sijui lile wengine wanafoji vyeti. So kama serikali ikifanya ukaguzi itavumbua uozo mwingi sana.

Ni ny
 
private hawaangalii vyeti wanaangalia uwezo na wengi wanaosomea ualimu hawakufaulu vizur form4/6 na chuoni asilimia kubwa hawana courses zinazohusu masomo ya kufundisha huko waendako wanasoma mambo mengine tuu na teaching methodology kwa sanaa sasa akitokea mtu amabaye kwa mfano hesabu alikuwa anaziweza huko nyuma ila hakusoma ualimu akienda kuomba kazi na ww ambaye hukufaulu vizuri hesabu lazima akuzidi tu kwenye kumwelekeza mwanafunzi na ilivyo kama kuna topic ilikuwa inakushinda mfano. equilibrium ya form 2 physics kama ulikuwa huijui vizur ni vigumuu kuifundisha hata kama umemaliza degree ya ualimu ndo maana private wanaangalia uwezo sio vyeti
 
Nadhani kunyoosheana vidole sasa hakutatusaidia sana.Itoshe tu kusema kwamba elimu yetu ina matatizo mengi ikiwa ni pamoja na waalimu wengi wasio na sifa kabisa.Kwa mantiki hiyo serikali inahitaji juhudi za ziada na za makusudi ili kuboresha elimu.
Kama unaweza mwambie mwenye dhamana na Elimu yetu kwamba huu si wakati wa kuchukua makapi ndio wanapelekwa vyuoni hususani Certificate and Diploma. Kama mtu amefeli unategemea huyo mtu akujengee watoto na watatoka wakiwa katika hali gani?

Mwambie Sizonje kuwa ile inayoitwa cream, ichukuliwe iende isomee Elimu huko vyuoni, nadhani hapo huenda kukawa na changes. Tujifunze kwa mataifa yaliyoendelea
 
Pia walimu wakiandaliw mazingira na mishahara mizuri
Na iwe ni kazi isiyo subiri pesa mpaka mwez had mwezi kama kazi zingine MF. Udaktari hapo Utaona Hao cream wanaenda kusoma ualimu kwa moyo wote!
Other wise cream watakimbilia
Fani nyingine
 
Hivi kufaulu ama kufeli kwa mtoto nani ndo muhusika mkuu...mwanafunzi, Mwalimu, Vitabu, au mzazi?
 
So hakuna haja ya kumnyooshea vidole vyote mwali....ila me naamini kwa kiwango kikubwa mwanafunzi ndo muhusika mkuu....
 
So hakuna haja ya kumnyooshea vidole vyote mwali....ila me naamini kwa kiwango kikubwa mwanafunzi ndo muhusika mkuu....
kumbuka mwanafunz anahitaj mwongozo kutoka kwa hasa hasa mwalimu ili aweze kufanya vizur katika masomo mzazi kamkabidhi hilo jukumu sasa ukute mwl hafundishi au anachofundisha hakijui vizur sabb hakukielewa vizur akiwa mwanafunz hawez kumfanya mtoto afaulu na vyuoni ninavyojua mm ni mara chache sana kumbadil mtu awe mzuri kama msingi ulikuwa mbaya .kwa mfano kama mtu hukujua kiingereza 0 level nivigumu ukifikq chuo ukajifunza na kuongea vizur hivyo itakuwia vigumu hata kumfundisha mwanafunz kwq lugha hiyo kiufasahaa .ndo maana naungana na mdau hapo juu kuwa serikal inabd upeleke wale vipanga ndo wakasome ualimu na sio walio na ufaulu mdogo kama lengo ni kuinua sector ya elimu
 
Mtoa mada uwe specific usijenerolize, mm ninaona karibu kila mwaka private schools ndio wanatoka kifua mbele. Wange kuwa wabovu matokeo yangeonekana mabovu pia! Na kama shule za serikali zina professional teachers basi nyingi ni walimu wenye vyeti na si walimu kwa kuwa ndiyo wanaonekana kuwa na matokeo yanayo kera sana ukilinganisha na private!
 
Hata na zile za mlima wa barafu nazo za kuangalia kwa jicho la tatu...... maana mmmmmmhhhh........
 
Shule binafsi si kuna mamboya ki greza a.bacho waalimu wetu kinawapitia kushoto ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…