''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

How? Please explain...

hehehe!
hapa inabidi USABSTANSHIETI.....

Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?
 
Nyie wenyewe ndio mna cause those difficulties unajua halafu unakaa kimya for the sake of protecting your marriage i guess your an angel mbona mkipigwa mwasema

Inawezekana, lakini people says-u try mpaka pale unapoona unashindwa then u can let it out, so ukiona mtu anakaa kimya-ujue at the moment she is tryn her best to maintain the situation, hadi akilitoa basi ujue wewe umezidi
 
''mpango-wa-nje'' ni ukweli ambao ''mama wenye nyumba wengi'' wanaujua na hawangependa kuuzungumzia kabisa,

siwezi kuamini kwamba ''mpango-wa-nje'' unasababisha MAJONZI ndani ya nyumba,hilo nalipinga tena umenisaidia kabisa kwamba wakina mama wanajua kabisa the whole project of mpango wa nje and yet they do love their husbands.....

shida huwa inakuwa SHIDA pale ''mpango-wa-nje'' anapotaka kuweka MAKAZI kwa mume wa mtu.....!hapo ndo mziki unapoanza sasa....
 
Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?

Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?
 
Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?
unajua bwana mkubwa hatari ninayoiogopa hapa ni kwamba if i go further nitaambiwa I AM GLORIFYING....!lakin the truth of the matter ni kwamba asilimia kubwa kidogo ya wanaume wana hii project ya ''mpango wa nje''.sasa inawezekana kuna ''kitu'' kinachowavutia huko ambacho labda sijakitaja hapo juu.....

otherwise ingekuwa ni kwa sababu TAJWA hapo juu pekee basi ''mpango wa nje'' isingekuwa HEADACHE
 
Mkuu endelea maana tukianza kuogopa kuweka mambo wazi tutabadili na jina la jukwaa
 
ANGALIZO: kumbuka kuwa mama yako mwenye nyumba ni mpango wa nje wa mtu mwingine!
Nawasilisha!
 
walio wengi wanajua bana......!
enewei hata hivyo kimey haiwezekan kwamba ikawa ''NGOMA DROO''
Hapa wanajua kwa kuambia au kuona? mi najua wakiwa na ushahidi ndani hakukaliki!:bump:
 
Nimechangia tayari
 
mbona sasa unaanza kujihami na wewe atakayekuja akihitaji kuchangia sawa asipotaka aache
 
Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?
hebu msome vizuri huyu hapa dada/mama/kaka smile:
unajifunza nin hapo?
...kwamba ''mama mwenye nyumba'' kabla ya kuwa '''mama mwenye nyumba'' lazima apitie kwenye hizo sifa na viatu vya ''mpango wa nje'' though yeye hatakuwa ''mpango wa nje'' kwakuwa ndo anakuwa wa kwanza.

YANI NINACHOKIONA HAPA ni kama ''a circle'' of events fulani hivi
 
Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?

ha ha ha!
unaulizia HATIMA ya ''mpango wa nje''?
 
Hakuna hata moja, ninachoshindwa kuelewa mimi ni kwanini hizo categories akapewa na nje at the first place...na si wa ndani?? Criteria gani zimetumika hapo?

Smiles the missing part kwenye argument ya TEAMO ni kuwa, amesema jinsi 'mama mwenye nyumba' anavyobehave au anavyoplay role yake kwenye ndoa, halafu ikaja part ya 'baba mwenye nyumba' anavyoitendea 'mpango wa nje'......kuna missing link hapa

Ni kama tunalinganisha vitu viwili tofauti....huenda kwa kuanzia tungelinganisha behaviours only za 'mama mwenye nyumba (MMN)' na 'mpango wa nje (MN)'...so TEAMO arekebishe kidogo hapo
 
Hebu jamani niambieni, katika hayo hapo juu lipi gumu kumfanyia 'mama mwenye nyumba'?

Kupewa nafasi ya kudeka unavyotaka, Hii nafikiri ni ngumu kuifanya kwa mama mwenye nyumba!!!!
 
ha ha ha!
a point to note hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…