Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

Kuw na msimamo amua kula mzigo au mpe makavu live uone jinsi atakavyokubadilikia.

Tahadhari:
Jiandae masharti ya pango kubadilishwa.

Kodi kuongezwa, muda wa kurudi home mwisho saa moja jioni.
Hauruhusiwi kuleta wanawake wengine ndani.
 
kama vipi mwambie wewe ugonjwa wako tigo, ila ujue anaweza kuwa mama mwenyewe "dakika mbili mbele nyuma" akakupa hiyo kitu. hivyo uwe tayari kumhudumia...
 
kuna watu wana bahati huku duniani:banghead:
 
mkuu tubadilishane nyumba mimi nipo huko huko nataka anambie mimi ili nimwongezee mapacha wanaofanana!!!
 
km ndio mambo yameanza kuwa hivyo ni heri uhame mapema maana ht kumwambia ukweli umeshindwa.....hiyo jana we ungemwambia live kuwa humtaki na wala huna time nae, kwani angekufanyaje? matokeo yake leo unapata shida tena ya kuanza kuwaza na sijui utajiteteaje.
 
kama vipi mwambie wewe ugonjwa wako tigo, ila ujue anaweza kuwa mama mwenyewe "dakika mbili mbele nyuma" akakupa hiyo kitu. hivyo uwe tayari kumhudumia...

hiyo hapana!!mambo ya tigo tena nooooo!
 
km ndio mambo yameanza kuwa hivyo ni heri uhame mapema maana ht kumwambia ukweli umeshindwa.....hiyo jana we ungemwambia live kuwa humtaki na wala huna time nae, kwani angekufanyaje? matokeo yake leo unapata shida tena ya kuanza kuwaza na sijui utajiteteaje.

Sawa mkubwa nitajitahidi leo
 
kwi kwi kwi! unakataa kuwa baba mwenye nyumba? subiri notisi
 
Kuw na msimamo amua kula mzigo au mpe makavu live uone jinsi atakavyokubadilikia.

Tahadhari:
Jiandae masharti ya pango kubadilishwa.

Kodi kuongezwa, muda wa kurudi home mwisho saa moja jioni.
Hauruhusiwi kuleta wanawake wengine ndani.

hiyo ya kutoleta wanawake tyr alishaniambia sikujua maana yake kumbe alikuwa anaandaa mazingira.
 
unatakiwa kuzungumza kwa uthabiti kwamba huhitaji kufanya jambo hilo naye. Na uoneshe seriousness usoni!
Usijali atasema nini.
Kumbuka: ni bora kumtii Mungu kuliko binadamu. Uzinzi ni dhambi nzito brother
 
hiyo ya kutoleta wanawake tyr alishaniambia sikujua maana yake kumbe alikuwa anaandaa mazingira.

Mwambie wewe mdau w 0717 kma yuko tayari aseme.hivi mtu anaingiaje kwako kila cku wewe ndio unamlea mwambia kwako marukufu n kma vipi arudishe kodi uhame
 
Tomb............ wewe acha woga! Akikaa vbaya kula mambo yetu yale ukae bure hapo
 
Back
Top Bottom