Mama mwenye nyumba ananitega sana

Mama mwenye nyumba ananitega sana

gonga mzigo huu tena utakuwa hulipi kodi kama una wasiwasi nunua kondomu za kutosha bila hivyo atakuwa anakudharau sana
 
dawa ya huyo mama akija mwambie njoo tusali, kama wewe ni mkristo fungua biblia mpe somo, vivyo hivyo kama ni muislam, hatarudia. ikiwezekana, muombe na mkemee kwa pamoja, hiyo itakuwa mwa40

ok. nimelipokea mi ni mkristu.
 
Huyo ni mama yako rafiki yangu..Acha kabisa tena ikiwezekana rudi usiku sana..au mkaribishe mwenzio wa kiume hata uwe naye usiku..
 
Leo akija kuanza kukulazimisha huo upuuzi wake we piga kelele kuwa anakubaka umjazie watuataona aibu yeye mwnyw, hakuna kuhama mkuu we komaa nae tu hadi atakata tamaa mbaf zake huyo

Ha ha ha ataliwa ulimi kama yule wa arusha
 
Ukiangalia vizuri mtoa post ana matatizo zababu1 leo sijisikii inamaana ulishawahi kufanya 2hawezi kuja kwako na kutaka kuku paka mafuta kama hujamzoesha au uliwahi kumtongoza 3 labda huwa akija kwako kikusalimia unamlegezea macho na kumwangalia kimahaba na yeye ni mtu mzima anaelewa fasta akajua shida yako na hivi hana mtu akaona amepata pa kurudia karibu asiende mbali. Wewe kama ulishamkubalia inamaana umeridhika wewe jiandae na zana uweke na time table isije ikawa daily uanze kilipia ada watoto wake wa chuo. BABA MLEZI
 
Generali anaogopa papuchi hahahahahahaha vunja mifupa kama meno bado ipo
 
Sikiliza nikwambie kijana, huyo mama wewe utakuwa unamuonyesha mazingira ya kukubali ndio maana anajiachia kiivyo. kama wewe ni mkiristo suala hilo haliitaji hata kuomba Mungu, ni wewe kuchukua hatua za kukimbia tu na kumkemea!! unaweza kusoma biblia kitabu cha Mwanzo 39:7-12. usimchekee kabisa. Yusufu alimwambia mwanamke wa Potifa, kwamba Mimi itawezekanaje nimtende Mungu wangu dhambi kubwa nana hii? habari za kumwambia eti hujisikii, hauna ham kwa leo, unajiwekea mtego wa shetani mwenyewe!!!!
Siku hizi wakishakuweka kwenye kumi na nane live namna hii halafu ukikataa kwa nguvu eti una msimamo wanakung'ata ulimi na kutema chini naskia. Ohooo shauri yako!
 
Sikiliza nikwambie kijana, huyo mama wewe utakuwa unamuonyesha mazingira ya kukubali ndio maana anajiachia kiivyo. kama wewe ni mkiristo suala hilo haliitaji hata kuomba Mungu, ni wewe kuchukua hatua za kukimbia tu na kumkemea!! unaweza kusoma biblia kitabu cha Mwanzo 39:7-12. usimchekee kabisa. Yusufu alimwambia mwanamke wa Potifa, kwamba Mimi itawezekanaje nimtende Mungu wangu dhambi kubwa nana hii? habari za kumwambia eti hujisikii, hauna ham kwa leo, unajiwekea mtego wa shetani mwenyewe!!!!

ok. sawa.
 
Back
Top Bottom