Mama mwenye nyumba ananifwata ndani kwangu..

Mama mwenye nyumba ananifwata ndani kwangu..

Hivi ulipewa hicho chombo cha nn ndio matumizi yake Hayo sasa mpaka Uombe Ushauri?
 
Wanaume wachache sana watakao enda Mbinguni, mleta thread ni moja kati ya watu watakao enda motoni, kula nyama hiyo
 
Mbona unarudisha chenji kijana. Hebu fanya kweli.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri nimuwekee vocha, mara aje kuniomba nimtafutie namba kwenye simu wakati kuna mpangaji mwingine wa kike chumba cha jirani sioni akimsumbua. Tatizo mimi namuheshimu kama mama yangu japo yeye kidogo hana umri wa mama angu.
Acha ukaid na kujilalamisha. Kwani tatizo ni nini? Yeye anakuamini wewe, si huo mwingine.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri nimuwekee vocha, mara aje kuniomba nimtafutie namba kwenye simu wakati kuna mpangaji mwingine wa kike chumba cha jirani sioni akimsumbua. Tatizo mimi namuheshimu kama mama yangu japo yeye kidogo hana umri wa mama angu.
Yaani mada zingine zinaudhi kweli. Na ungekua karibu ningekupopoa jiwe la mgongo...
 
Jiongeze mkuu au wewe tomaso hadi akushikishe bumunda
 
Masikini weee kijana yule nakuona jinsi utakavyoambukizwa ukimwi kwa haraka duu kweli dunia hadaaa, ukimwi mwema
 
Back
Top Bottom