Mama mwenye nyumba ananifwata ndani kwangu..

Mkuu unataka tukuelekeze namna ya kumfikisha mapema au jinsi ya kuvaa zana[emoji23][emoji23]
 
Katika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri nimuwekee vocha, mara aje kuniomba nimtafutie namba kwenye simu wakati kuna mpangaji mwingine wa kike chumba cha jirani sioni akimsumbua. Tatizo mimi namuheshimu kama mama yangu japo yeye kidogo hana umri wa mama angu.
kwa hiyo tukusaidieje junya wewe
 
Kichangirl,mbona sioni shida hapo
 
Katika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri nimuwekee vocha, mara aje kuniomba nimtafutie namba kwenye simu wakati kuna mpangaji mwingine wa kike chumba cha jirani sioni akimsumbua. Tatizo mimi namuheshimu kama mama yangu japo yeye kidogo hana umri wa mama angu.
Ww msaidie tu km anavosema
 
Nialike mwishoni mwa wiki nine nikutembelee halafu umwite aje asalimie mgeni, akishafika tu unaniachia uwenyekiti Wa kikao, na wewe unakua unachangia kwa kadiri unavyoweza. Mwisho wa siku nimpigilie msumali Wa inch 7.5.
 
Kula wew, mwenzio ilinikuta hiyo nikawa naogopa naanzaje, siku moja akaja akawa ananiambia nilidhani we umekua kumbe bado mtoto? Kusikia husikii hata macho hayaoni? Nikasema subiri, nilichomfanya siri yake sahiv hata kodi siulizwi
 
Katika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri nimuwekee vocha, mara aje kuniomba nimtafutie namba kwenye simu wakati kuna mpangaji mwingine wa kike chumba cha jirani sioni akimsumbua. Tatizo mimi namuheshimu kama mama yangu japo yeye kidogo hana umri wa mama angu.
Hutak kukaa room bila kulipa kodi, fursa hyo[emoji1] [emoji1]
 
Katika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri nimuwekee vocha, mara aje kuniomba nimtafutie namba kwenye simu wakati kuna mpangaji mwingine wa kike chumba cha jirani sioni akimsumbua. Tatizo mimi namuheshimu kama mama yangu japo yeye kidogo hana umri wa mama angu.

Mgegede mwanawane
 
Back
Top Bottom