Hahahahaha umeua mkuuWewe ni ke au me???
Kama unaishi Daslam, siwezi nikakushangaa.... tehteehhhKatika hali isiyo ya kawaida mama mwenye nyumba ananifwata chumbani kuniuliza mambo yasiyo ya maana hata. Mara aje atake nim’badilishie lock ya simu yake, mara anasema macho hayaoni vizuri nimuwekee vocha, mara aje kuniomba nimtafutie namba kwenye simu wakati kuna mpangaji mwingine wa kike chumba cha jirani sioni akimsumbua. Tatizo mimi namuheshimu kama mama yangu japo yeye kidogo hana umri wa mama angu.
Vepe ana bunyengo???