Kwanza naomba niseme nimefurahi sana Lara 1 kuchangia na kunipa ushauri. Nimefurahi mno.
Pili huyu mama ni headache aisee. Muda wote nimejaribu kustay away from her lakini anazidi kuleta ***** ***** mno. Kila siku ni visababu vya kusema mchumba wangu yuko hivi, mara ana jeuri siku hizi, kila kitu akiambiwa lazima aseme "subiri mimi nimesema hivi". Kwani mimi ni nani? maneno kibao...
Sasa najiuliza. Hivi kama mtu mahari umetoa na kilichobaki ni ndoa(ambayo sasa ni mipango inafanyika), je siwezi kushauriana na mchumba wangu juu ya mambo fulani na tukaamua pamoja? Mfano familia yao inataka binti asafiri kwenda mbaali kabisa na nchi hii, juu kaskazini eti akasalimie ndugu ili waweze kutoa michango,,,,,!!!!!!!! Hainiingii akilini maana sasa si muda wa kusafiri safiri. Amewaambia kuwa tutaenda sote mimi na yeye kama mume na mke... Sasa huyo mama anaongea shit kibao!! Oooh amekataa kwenda kuona kaburi la baba yake,,,, ooo anaendeshwa na mwanaume,, hivi Lara huyu mama si analeta nuksi kweli!!