Mama Mkwe wangu simuelewi!!!

Mama Mkwe wangu simuelewi!!!

nakushauri ufanye yafuatayo,kwanza kabisa unatakiwa mambo yako uyafanye kwa siri,na uangalifu,pili tafuteni kanisa la kiroho muwe mnasali hapo,tatu rudini kwa mama mdogo yeye atawasaidia.nne jipange kwa kila ki2,theni ukianza taratibu za ndoa usichukue mda mrefu ukifanya harusi fanya ndogo iwezekanavyo,. Sababu hakuna ki2 kibaya kama kutokupatana na upande wa wakwe,hasa wawe si wazazi halisi,yaani walezi wanaweza kufanya k2 mbaya sana kwa famili yenu take care.

kwa kuongezea jitahidi mkishaoana mkae mbali nae walau isiwe mtaa mmoja.
 
Asikushughulishe,as long as mnapendana fanyeni haraka sana muoane,wala msitake makubwa..
 
Usipende kwenda huko nyumbani kwao kila siku, si huna mshenga ndo akuletee taarifa tena za maana mengine mwambie sitaki kuyasikia kwa sasa
 
Back
Top Bottom