Mama mkwe tatizo

usichezee dini ulokuzwa nayo
unless hukuielewa au hukuwa mfuasi wa kweli.

Huwezi nielewa, unless you have been there. Whether ndoa inadumu milele au inavunjika.

Nadhani, unajua kila ndoa hupitia rough times
katika kipindi hicho, ni ngumu unapokuwa ulibadili dini
unajiona ba.za.zi tu.
Ujue kuingia kwenye ndoa ni kama principle moja ya biashara inaitwa business entity kwamba unaashum biashara itadum milele japo nyingine siyo, so na ndoa unatakiwa uamue hivyo hivyo kuwa utadumu nayo milele
 
acheni kumtisha
ni maamuzi yake-yupo sahihi kulingana na yeye.
Changia mada usiingize swala la dini-
kwani ni wangapi wamebadili huku kule na vice versa?na bado hadi leo wanadunda vyema tu.
Tusiharibu hii thread ya watu
 
Huyu Mdada sampuli yake wako wengi, ambao hua wana'convert kutoka upande wa dini ya asilia na kuhamia dini nyingine , but si kwa mapenzi halisi yanayomuhamisha kwa kivutio cha maslahi flani kama ndoa, fedha n.k.
But pindipo maslahi yakomapo (kama ndoa kuvunjika hurejea dini yake ya asili )
 
kama ulizaliwa na viungo vyote, afu ukakatwa kimoja badae maisha yanaendelea kudunda japo una ulemavu.
Hayo ya mama mkwe, watachangia na wengine lakini mie point kubwa nloona ni dini.

Lakini hata mama mkwe atakuwa kaona hilo la dini, na kaona ni tatizo ndo maana hamtaki.
acheni kumtisha
ni maamuzi yake-yupo sahihi kulingana na yeye.
Changia mada usiingize swala la dini-
kwani ni wangapi wamebadili huku kule na vice versa?na bado hadi leo wanadunda vyema tu.
Tusiharibu hii thread ya watu
 
sidhani kama tunaweza kumhukumu mama mkwe moja kwa moja .. na suala la dini sidhani kama nikigezo cha kusimamia kana kwamba kinazuia ndoa.
kwanza ni maelewano katika wahusika na wewe naamini unatakiwa uingie taratibu katika hiyo familia wakutambue na ukubalike
 
Angalia sana mamuzi unayotaka kuchukua kwani niafadhali uolewe na mtu ambaye dini yenu moja kuliko hiyo Lakum din kumwaliyandin,halafu kwamahesabu yako weweunadhani mtakua wamoja? sikushauri lakini ushauri ni wako wanasema sikio la kufa..........
 
Hapa ueleweki kwamba upo kwenye Muhadhara au MMU? hivi uislamu siku hizi unaruhusu kutumia Internet?
Dogo uislamu hauja kataza hata siku moja mtu kutumia internet umeipata wapi hio naona mpya kabisa....BTW; Uislamu una taka watu wawe na elimu na mungu kasema hapendi wajinga, ndo mana usilamu unatuambia tuvikubali vitabu viliyo letwa na prophet wengine kama vile Moses na Jesus lakini sio mlio vitunga mkasema vimetoka kwa Mungu au Jesus.

FYI dogo uislamu ulitabiri internet, ndege gari kabla havikuwepo kama hujui uliza na utapewa aya...kasome sura Yasini utavipata vyote hivyo.

Usingie kwenye dini usio ijua, mana waislamu hata watu kama mimi bado tuko katika 1st stage ya uislamu, tunaijua Qur'an na tunazijua bible zenu vizuri, mkija na speed kali tunawazima kwa bibile zenu wakati nyie mnatembea nazo usiku na mchana lakini bado hamzijui zinasema nini.

Narudia tena, mimi nimesema toka mwanzo ni muislamu jina tu, yani bado sana kusema mimi ni muislamu:biggrin:

Bora unyamaze na usilete u dini hapa ndo mana nilimueleza mtoa mada asinge sema usilamu kwenye swali lake, angesema mimi na dini tofouti tusinge ingia hapa...lakini point yake ilikuwa anatafuta shari kwa wa islamu na wenye akili tumeisha mjua huyo si muislamu ni mnafiki wa kislamu.

Narudia mkileta dini mtaumia mana naijua bible na humo humo kwenye bible zenu tawapigana nayo kama mlivyo kimbia kule kwenye swali la kuoa mke wa pili.
 
acheni kumtisha
ni maamuzi yake-yupo sahihi kulingana na yeye.
Changia mada usiingize swala la dini-
kwani ni wangapi wamebadili huku kule na vice versa?na bado hadi leo wanadunda vyema tu.
Tusiharibu hii thread ya watu
Aliye leta udini nani kama sio mtoa mada, wewe kwani kipofu huoni...kasome kule swali lake kasema nini kabla hujarukia kusema hivyo.
 
Back
Top Bottom