Mama mkwe tatizo

Zheneba

Member
Aug 5, 2011
75
9
Jaman mimi nampenz wangu tunapendana sana tunazaidi ya mwaka na tumepanga kuoana lakin tatizo ni mamamkwe aliona sms zangu kwa mwanae sasa ni mlokole hanitak mimi ni muislamu lakn niko tayar kubadili dini anaomba na kusali tuachane kupitia wafanyakazi wenzake kaona picha zangu za fb.
 
duh, akunyimae mbaazi. . .

Vinaja hamjui tu, hakuna kitu ngumu kama kubadili dini sababu ya ndoa.
Mkija boana utaona ulipoteza kitu chako cha thamani kwa mtu ambaye wala hakuwa na thamani kihivyo.

Ila kama anakupenda, he will fight for you.
 
Acha kuleta neno la uislamu pls, sidhani kama wewe ni muislamu, usilamu wako ni wajina tu la kislamu.

Mimi mwenyewe nikijisema muislamu huwa naogopa naona kama nimekosea, mana mimi niko tofaouti kabisa na uislamu na mafunzo yake...Uislamu sio lele mama.

Mimi nakuombea mungu ajalie mama mkwe wako akubali uolewe na huyo, mana nataka uondoke kwenye uislamu wa jina...Uislamu hautaki watu type kama zako :biggrin:
 
Kuwa na msimamo kwenye dini yako aise....ni kama alivyosema Kongosho kuwa mkija kukorofishana utajiona ulifanya kosa kubwa sn kwakweli. lakini hii inadhirisha ni namna gani dini yako haijakuingia vzr ndugu. nakuombea kwa Mungu akuongoe.
 
katika maneno yote yanenwayo aya yako yametimia,,,,,,,,fikiria kidogo then umalizie mwenyewe
 
Jipe mda kufikiria upya uamuzi wako!maana mara nyingi tunapokua mapnzin huwa tunaona kila jambo ni rahic na linawezekana lkn baadae tukijagundua makosa inakua too late!kuwa makin sn na mambo ya iman!hasa kubadili iman yako kwa familia ambayo haiko tayari kukupa sapoti ktk hilo!ifikirie upya kesho yako!
 
wewe na wewe nani kakuambia ukibadili dini ndo utapendwa we kama vipi mwambie mkeo mtarajiwa kama anamaindi mamaake kuwa na yeye jikatate mapema kabla haijawa soo utajuta kwa kipururu chako cha sasa hivi...
 
Acha kuleta neno la uislamu pls, sidhani kama wewe ni muislamu, usilamu wako ni wajina tu la kislamu.

Mimi mwenyewe nikijisema muislamu huwa naogopa naona kama nimekosea, mana mimi niko tofaouti kabisa na uislamu na mafunzo yake...Uislamu sio lele mama.

Mimi nakuombea mungu ajalie mama mkwe wako akubali uolewe na huyo, mana nataka uondoke kwenye uislamu wa jina...Uislamu hautaki watu type kama zako :biggrin:

Hueleweki naona unarudiarudia uislamu oh uislamu cjui ndo umemaanisha nini
 
Kuwa na msimamo kwenye dini yako aise....ni kama alivyosema Kongosho kuwa mkija kukorofishana utajiona ulifanya kosa kubwa sn kwakweli. lakini hii inadhirisha ni namna gani dini yako haijakuingia vzr ndugu. nakuombea kwa Mungu akuongoe.

Ujue kuingia kwenye ndoa ni kama principle moja ya biashara inaitwa business entity kwamba unaashum biashara itadum milele japo nyingine siyo, so na ndoa unatakiwa uamue hivyo hivyo kuwa utadumu nayo milele
 
kama MUNGU aliandika muungane na kuwa mwili 1 itakuwa hvy kama haijaandikwa hata uogee maji ya bahari haitasaidia
 
Hueleweki naona unarudiarudia uislamu oh uislamu cjui ndo umemaanisha nini
Sasa hujaelewa wapi na wewe, mbona nimeaongea kiswahili kwani wewe umeona kibantu hapo.

Nimesema asilete usilamu humu wakati yeye haujui uislamu vizuri....Nashaka umenielewa sasa...kama hujanielewa katufute pombe ulewe.
 
Acha kuleta neno la uislamu pls, sidhani kama wewe ni muislamu, usilamu wako ni wajina tu la kislamu.

Mimi mwenyewe nikijisema muislamu huwa naogopa naona kama nimekosea, mana mimi niko tofaouti kabisa na uislamu na mafunzo yake...Uislamu sio lele mama.

Mimi nakuombea mungu ajalie mama mkwe wako akubali uolewe na huyo, mana nataka uondoke kwenye uislamu wa jina...Uislamu hautaki watu type kama zako :biggrin:

Asalam aleykum Fazaa??? Kwema huko ndugu yangu katika imani???...
 
Wa-aleykum salamu hata mimi imani zero aisay, lakini sipendi kuona watu wenye majina ya kislamu wanachafua uislamu, si bora tubane kimya kimya tu.

We hujaona Osama alivyo uchafua uislamu, wakati uislamu hauko vile.

Na huyu anataka kuchafua eti yeye musilamu, anataka kuingia dini ya kikristo angekuwa musilamu angesema hivyo.
 
Nimeshangaa pekeyangu kama kweli mtu kaiva kiimani anaweza kuwa rahis hvo kukimbilia kubadili dini.

Tumuombee kheri na subra pengine atabadili msimamo wake...
Afu atapendaje asipopendwa? "Mamamkwe hanitaki" bado anataka kubadili imani yake mweeee...
 
Jaman mimi nampenz wangu tunapendana sana tunazaidi ya mwaka na tumepanga kuoana lakin tatizo ni mamamkwe aliona sms zangu kwa mwanae sasa ni mlokole hanitak mimi ni muislamu lakn niko tayar kubadili dini anaomba na kusali tuachane kupitia wafanyakazi wenzake kaona picha zangu za fb.

Don't change your religion JUST because of a man but rather what gives you a peace of mind,something that you believe in that's so strong kwamba with o without your man itakua hivyo..am one of those who is in a transition but it started a long time ago,sio mwanaume!na hata kwenye vigezo vya mume,my current religion haiko.. and kuhusu mama mkwe,just pray hard,if it's meant to be it will be!
 
Nimeshangaa pekeyangu kama kweli mtu kaiva kiimani anaweza kuwa rahis hvo kukimbilia kubadili dini.

Tumuombee kheri na subra pengine atabadili msimamo wake...
Afu atapendaje asipopendwa? "Mamamkwe hanitaki" bado anataka kubadili imani yake mweeee...
Ameen yarab, asante sana ndugu.
 
Wa-aleykum salamu hata mimi imani zero aisay, lakini sipendi kuona watu wenye majina ya kislamu wanachafua uislamu, si bora tubane kimya kimya tu.

We hujaona Osama alivyo uchafua uislamu, wakati uislamu hauko vile.

Na huyu anataka kuchafua eti yeye musilamu, anataka kuingia dini ya kikristo angekuwa musilamu angesema hivyo.

Hapa ueleweki kwamba upo kwenye Muhadhara au MMU? hivi uislamu siku hizi unaruhusu kutumia Internet?
 
Back
Top Bottom