Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mama haambiliki[emoji13] [emoji13] [emoji13]So hata kama anakufanya umkosee huyo anayekupa hiyo pepo then ni sawa tu!!!
Mama haambiliki[emoji13] [emoji13] [emoji13]So hata kama anakufanya umkosee huyo anayekupa hiyo pepo then ni sawa tu!!!
Yaani wanawake wengi hasa wa siku hizi wana pepo la chuki dhidi ya wifi na mama wakwe zao hata kabla ya kuolewa. Wanahitaji maombi wapate kufunguliwa.Vita vya wanawake kwa ujumla huwa ni vigumu kweli kuviamua. Ukitaka uwe neutral inahitaji hekima ya ziada. Nadhani mume anawajua hawa wawili walivyo na tabia zao pia. Akishilikishwa ataweza tu kulitatua hilo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama haambiliki[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji109] [emoji109]Vita vya wanawake kwa ujumla huwa ni vigumu kweli kuviamua. Ukitaka uwe neutral inahitaji hekima ya ziada. Nadhani mume anawajua hawa wawili walivyo na tabia zao pia. Akishilikishwa ataweza tu kulitatua hilo.
Kweli kabisa!Mtanga chonde chonde mama wa mwenzio ni wa mwenzio tu tumehusiwa subra dada subiri dad subiri subira ina malipo
Aaah haya mambo ni changamoto kwa kweli. Mungu na atusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona mama haambiliki!!
Mko wachache sana mnaojitambua kama wewe labda katika wanawake 100 utapata 1. Wanawake wengi wanachuki dhidi ya wifi na mama wakwe zao toka tumboni mwa mama zao. This is amazing! Sijui ni pepo??Aaaahg pole sana kwa yanayokukuta ila sababu ya kuujua uchungu wa mwanae nae anaumia labda kuona unachelewa,,,lakin pia angekusaidia tu hata kupika kabla ya kurud au kukuandalia viungo wewe ukifika unapika tu. Msamehe bure maana huyo ni mzaz wako pia.. Usisikilize wala kuumia sana kwa maneno kuhusu hyo mtoto mwngine,,we jali yakwako yaende...
Mi nampemda mama mkwe wngu mpka anajua mkwe ananipenda,,,nae nashukuru ananipenda snaaaaaaa mpka najua mkwe wngu ananipenda,, heshima na kujitambua na kuweka balance kwako na kwetu ndio siri kuu....
Yani unaongea as if mama wakwe na Mawifi wao ni watakatifu ila wanaoolewa ndo wakorofi. Kuna Mawifi na mama wakwe ni wicked hadi unaweza hisi ni wasaidizi wa Lucifer. Kila upande umejifeed mawazo mabaya dhidi ya upande mwingine, as a result tunaishi kwa kuviziana, Yani nianze nikumalizeMko wachache sana mnaojitambua kama wewe labda katika wanawake 100 utapata 1. Wanawake wengi wanachuki dhidi ya wifi na mama wakwe zao toka tumboni mwa mama zao. This is amazing! Sijui ni pepo??
Lkn mbona wanawake wa zamani walikuwa wanapendana sana na mama wakwe zao?
Ila jua tu mm ni me,sio keMko wachache sana mnaojitambua kama wewe labda katika wanawake 100 utapata 1. Wanawake wengi wanachuki dhidi ya wifi na mama wakwe zao toka tumboni mwa mama zao. This is amazing! Sijui ni pepo??
Lkn mbona wanawake wa zamani walikuwa wanapendana sana na mama wakwe zao?
Ok sorry for that. Ningeshangaa sana ke kumpenda ke mwenzake.Ila jua tu mm ni me,sio ke
Duh. Wanawake wanajuana wenyewe tabia zao. Sisi wanaume mbona hatuna tabia ya kuchukia wakwe zetu.?Yani unaongea as if mama wakwe na Mawifi wao ni watakatifu ila wanaoolewa ndo wakorofi. Kuna Mawifi na mama wakwe ni wicked hadi unaweza hisi ni wasaidizi wa Lucifer. Kila upande umejifeed mawazo mabaya dhidi ya upande mwingine, as a result tunaishi kwa kuviziana, Yani nianze nikumalize